Msaada wa kitaaluma pls

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Ninaomba kufahamu haya yafuata2001
1.Gari Toyota Prado engine 1kz 2001.

Ukiendesha km140 p/h inapandisha temperature ila ukizima aircon tempreture inashuka ila ukikimbia zaidi ya km 140 p/h temperature inapanda tena!hivyo inakupasa utembee 120 km p/h ndo inakuwa normal sasa mafundi wameangalia wakasema ni clutch ya fan nikabadilisha tatizo bado wakaangalia kama ni gasket wakaona hakuna shida ila kwa mjini haina shida ila masafa ndo likuja hilo tatizo.
 
Gari ya mwaka 2001 iwe imetembea km 167000 tu.
Nenda kwa wataalam wafanye diagnosis kwa mitambo maalum watakuambia tatizo haswa liko wapi.
Yeah mkuu ila kungekuwa na shida si ingeonyesha katika dashboard? Au siyo lazima?
 
Hapo kuna kasensor kanako pandisha na kupunfuza temp ndio kamekufa kapo karibu na throta.
 
Kwa maana nikiwasha a/c na nikiwa safari ndefu ndo kana ditect??na nikizima a/c inarudi normal ila nikienda zaidi 120km inapandisha temp...na nikiwa town haina shida kila kitu kipo sawa why??
 
Ninaomba kufahamu haya yafuata2001
1.Gari Toyota Prado engine 1kz 2001.

Ukiendesha km140 p/h inapandisha temperature ila ukizima aircon tempreture inashuka ila ukikimbia zaidi ya km 140 p/h temperature inapanda tena!hivyo inakupasa utembee 120 km p/h ndo inakuwa normal sasa mafundi wameangalia wakasema ni clutch ya fan nikabadilisha tatizo bado wakaangalia kama ni gasket wakaona hakuna shida ila kwa mjini haina shida ila masafa ndo likuja hilo tatizo.

Toyota Prado,

Ongea na fundi wasafishe radiator kisha LAZIMA wabadili engine head gasket. Tatizo kubwa hapo ni kufeli kwa temperature sensors zilizomo kwenye head gasket. Ndio maana engine ina-misbehave.

Kila la heri mkuu.
 
Hapa mjini mbona haisumbui??na ukishatembea km kama 200 ndo inaanza sarakasi
 
Ukiona inasumbua baada ya kutembea umbali fulani, ujue tatizo ndio linaanza. Lisipotatuliwa mapema litakuwa evident baada ya kutembea umbali mfupi. Ama niseme dalili ya mvua ni mawingu.
 
Me nna mashaka na hio clutch ya feni km km thermo umetoa ila kwa vile umeshabadili hebu jarib kuchukua ile clutch ya zaman iweke lock uone itakuaje maana kama ni gasket au silinder head isingesuburi ufike 140
Kwenye 60 to 80 tu ingepandisha temperature nahisi kabla hujaigusa head weka lock clutch kwanza uone.
 
mkuu ulikuwa akilini mwangu. na kingine ajaribu kucheki usafi wa rejeta kwa nje hewa inapita kiurahisi na condesen yake pia ni safi?
 
Me nna mashaka na hio clutch ya feni km km thermo umetoa ila kwa vile umeshabadili hebu jarib kuchukua ile clutch ya zaman iweke lock uone itakuaje maana kama ni gasket au silinder head isingesuburi ufike 140
Kwenye 60 to 80 tu ingepandisha temperature nahisi kabla hujaigusa head weka lock clutch kwanza uone.
Nimebadili tatizo bado lipo mkuu clutch niliweka mkuu!
 
Back
Top Bottom