Msaada wa kitaalamu

jiga2009

Member
Jul 3, 2008
8
0
Hivi inakuaje unaishi na mke wako lakini mnashindwa kuelewana endapo kunatokea matatizo ya kifamilia badala yake mnaanza kutumina msg kwenye simu badala ya kukaa chini na kusolve face to face
 
Mimi sio mtaalamu but nashauri tu.

Hilo ni tatizo kubwa, Mnapojadili face to face ni better kwakuwa msgs mtu anaweza kujibu chochote kile na mwishowe kilete maudhi na pia mnaweza hata msifikie muafaka. Hata kama mko busy kiasi gani tafuteni muda muongee myamalize.
 
Hivi inakuaje unaishi na mke wako lakini mnashindwa kuelewana endapo kunatokea matatizo ya kifamilia badala yake mnaanza kutumina msg kwenye simu badala ya kukaa chini na kusolve face to face
My 2 cents.... am also not a professional

I call this a breakdown in communication, this is a recipe for disaster, if you cant sit to have a face to face conversation, you are killing your marriage slowly, itaendelea hivyo hadi hata hizo msgs muwache kutumiana!
i believe this didnt just start out of the blues, its gradual, mmoja wenu aliudhiwa na mwenzake and decided to withdraw communication, if you dont deal with the issues you might as well kiss your marriage gdbye.

communication is key to a successful rship!
 
...wana vocha za mchezo hao, imagine muda wanaopoteza ku- flick keys kwenye simu zao, wangekuwa weshaongea mangapi?

solution katika hilo ni mmoja wao kuacha kujibu 'txt msg' na ku demand face -face 'showdown'!

Kweli kabisa badala ya kuwaste time ktk kuchezea vitufe vya simu ni bora wapeane kavu kavu(face 2 face)
 
makubwa,
Wana vocha za mchezo hao.
Lakini kama wako serious na uhusiano wao basi itafika siku wataongea vizuri tu.
Tushike majembe tukalime, tukirudi...
Pia kuna technic inafundisha utaalamu wa jinsi ya kusurvive kero bila kuharibu uhusiano.
'how to continue loving your spouse even when you do not like him/her'
 
Sasa si utuwekee hapa haika? Sisi wengine wife zetu ndo walivyo. Anakuboa kwa txt msg .Usipojibu anakutuhumu ..madharau. Ukijibu anaangusha bomu lingine ali mradi utume tusi ili apate pa kuanzia. Tusadieni bana.
 
ukitegemea kutokuwa bored katika ndoa, you are in for dissapointment.
kuboreka ni part and parcel ya mahusiano. Kama ilivyo kuenjoy.
jitahidi kuwa fair kwa mwenzio. kuapreciate, na kukubali kuwa mko tofauti, mlikutana ukubwani.

Make a decision kwamba huo uhusiano baina yenu ni muhimu kuliko nyumba, gari, mtoto, mzazi kazi nk.
ni ngumu ila ndio sababu ni muhimu sana kuchagua (kabla ya kujikomit) mtu ambaye unaweza kujiachia kwake. ni risky, ndio sababu wanasema unamtanguliza mungu mbele.
 
nimemkumbuka baba mmoja, msomi alioa mke toka kijijini. Waliishi vizuri kama miaka 15 ila baba alikuwa anakerwa sana na tabia ya mkewe kubinya dawa ya mswaki bila mpangilio ile tube (zile za zamani za bati) inakuwa inabonyea kila mahali inamkera baba hadi ikabidi waachane.
Ni kweli ilimkera sana sana, hata akiulizwa inakuwaje anamuacha mkewe alikuwa anaitaja hiyo kama sababu, offcourse kulikuwa na mengine lakini hili lilimgusa sana labda na tabia ya mkewe kutokujirekebisha.
sasa kama ni wewe utamkejeli huyo baba lakini hebu jifikirie ishu yako inayokukera, je ni ukiikubali kama udhaifu wa mkeo/mumeo, kweli utakuwa umeumia kiasi gani, je ukisacrifice hiyo tabia, nakupata penzi zaidi, utafaidi au utapungukiwa zaidi?
 
Sasa si utuwekee hapa haika? Sisi wengine wife zetu ndo walivyo. Anakuboa kwa txt msg .Usipojibu anakutuhumu ..madharau. Ukijibu anaangusha bomu lingine ali mradi utume tusi ili apate pa kuanzia. Tusadieni bana.

kwi kwikwi teh the teh ama kweli wanawake tunavituko
 
nimemkumbuka baba mmoja, msomi alioa mke toka kijijini. Waliishi vizuri kama miaka 15 ila baba alikuwa anakerwa sana na tabia ya mkewe kubinya dawa ya mswaki bila mpangilio ile tube (zile za zamani za bati) inakuwa inabonyea kila mahali inamkera baba hadi ikabidi waachane.
Ni kweli ilimkera sana sana, hata akiulizwa inakuwaje anamuacha mkewe alikuwa anaitaja hiyo kama sababu, offcourse kulikuwa na mengine lakini hili lilimgusa sana labda na tabia ya mkewe kutokujirekebisha.
sasa kama ni wewe utamkejeli huyo baba lakini hebu jifikirie ishu yako inayokukera, je ni ukiikubali kama udhaifu wa mkeo/mumeo, kweli utakuwa umeumia kiasi gani, je ukisacrifice hiyo tabia, nakupata penzi zaidi, utafaidi au utapungukiwa zaidi?

Bravo Haika.

Yaani kuna tabia dongo sana ambayo inaweza ku turn off mtu...mie tulikuwa tunagombana na GF wangu kwa tabia ya kufungua kifuniko cha lotion badili ya kutumia kile kitundu special cha kutolea...why ukifungua mfuniko wote inamwagika yote...sasa ilikuwa nikisema nauliza value ya lotion yeye....

Sasa vitu kama hivyo vikiendelea vinafanya mtu kuondokana na msalaba huo.Sababu kama hii si rahisi kueleweka katika mazingira ya kawaida....mie na huyo msomi karibu tunakaribia...
 
.....mhhhhh......
 
Unajua Maritial Status Yaani Umeoa Au Umeolewa Ziko Za Aina Tano Sio Kuoa Au Kuolewa Tu Nikama Zifuatazo Kwa Lugha Zote. (1) Kuoa/kuolewa Yaani Being Married (2) Kuna Singularity Yaani Sikuoa Au Sikuolewa(3)ndoa Tengemano Yaani Separated{ion} (4)ndoa Telekezo{kutelekezwa No Kwaheri No Talaka} -deserted{ion} (5) Talaka Divorrce.

Lesson Two / Somo La Pili {mechanics Of Marriage)

Viungo Vya Ndoa{marrieage Reinforcement}

Ndio Sababu Ya Yote Nondo Za Chuma Au Mfuko Mmoja Wa Sementi Matofali Mia Ndio Uimara Wa Ndoa

Electromechanic Of Marriage

To Be Continued- -

Prof Dr Ing Rev Tumaini Geofrey Temu/liampawe

Una vituko wewe..
 
wote ni jeuri ... maana alomkosea mwenzake hataki kuomba msamaha na alokosewa anasubiri aombwe msamaa kwanza ...

sasa sijui na mapatna wale waliyounganisha ndoa hii pia watatumiana sms kama mmoja anamhitaji mwenziwe maana hawana simu na ugomvi hauwahusu .. au itakuwa kabali!!!!!
 
nimemkumbuka baba mmoja, msomi alioa mke toka kijijini. Waliishi vizuri kama miaka 15 ila baba alikuwa anakerwa sana na tabia ya mkewe kubinya dawa ya mswaki bila mpangilio ile tube (zile za zamani za bati) inakuwa inabonyea kila mahali inamkera baba hadi ikabidi waachane.
Ni kweli ilimkera sana sana, hata akiulizwa inakuwaje anamuacha mkewe alikuwa anaitaja hiyo kama sababu, offcourse kulikuwa na mengine lakini hili lilimgusa sana labda na tabia ya mkewe kutokujirekebisha.
sasa kama ni wewe utamkejeli huyo baba lakini hebu jifikirie ishu yako inayokukera, je ni ukiikubali kama udhaifu wa mkeo/mumeo, kweli utakuwa umeumia kiasi gani, je ukisacrifice hiyo tabia, nakupata penzi zaidi, utafaidi au utapungukiwa zaidi?

hahahaaaaa makubwa huyo nae baba balaa khaaaa kwanin asingemnunulia mkewe whitedent yake loo
 
Bravo Haika.

Yaani kuna tabia dongo sana ambayo inaweza ku turn off mtu...mie tulikuwa tunagombana na GF wangu kwa tabia ya kufungua kifuniko cha lotion badili ya kutumia kile kitundu special cha kutolea...why ukifungua mfuniko wote inamwagika yote...sasa ilikuwa nikisema nauliza value ya lotion yeye....

Sasa vitu kama hivyo vikiendelea vinafanya mtu kuondokana na msalaba huo.Sababu kama hii si rahisi kueleweka katika mazingira ya kawaida....mie na huyo msomi karibu tunakaribia...

kwani mlikuwa mnashea mafuta???? hahahaaaaaa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom