Msaada wa kitaalamu on hard disk (sata), ram | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kitaalamu on hard disk (sata), ram

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by NasDaz, Aug 30, 2012.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  WAKUU SALAMU!!
  Labda nianze kutamka wazi kwamba mimi si mtaalamu wa masuala Compyuta....hivyo napenda wenyeuelewa wanielimishe!

  Nina kompyua yangu ya kichina (Desktop) ambayo niliinunua miaka mitano iliyopita (2007) lakini bado inapiga mzigo! Yenyewe ni Epro, Pentium IV. Ina slot mbili kwa ajili ya RAM na ukubwa wake ni 80GB! Lengo langu ni kuinunulia Hard Disk Mpya na kuongeza RAM.

  MY CONCERNS:

  1. Je, naweza kuweka Hard Disk yenye ukubwa 320GB kwenye PC yenye above specifications?! If not, wht's the maximum HDD ninayoweza kuiweka.

  2. Mara nyingi nasikia Hard Disk SATA type......maduka mengi ukienda hivi sasa unakutana na Hard Disk za aina hii. Je, can such type (SATA) work on above specified PC?

  3. What maximum MEMORY (RAM) can such type of PC support?! As I've said above, ina TWO RAM SLOTS...je, inaweza ku-support above 1.66GHz?! If not, wht's the maximum RAM can it support!

  Any additional advice?!
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kwa vile PC yako sio brand name ni vigumu kukwambia chochote, itabidi uchunguze kama inatumia HD ya SATA basi itasupport hiyo size ili mradi iwe muundo ule ule i.e ndogo ya latptop au kubwa ya desktop kwa PC ya 2007 itakuwa ni SATA. Nenda Device Manager, fungua section za Disk Drives na IDE atapi controllers angalia kama kuna kitu kuhusu SATA.

  Kuhusu RAM pia ni vigumu kusema kwa vile sio brandname haya mambo yanakuwaga kwenye user manual au website ya manufacturer, pia RAM inapimwa in MB na GB sio Mhz hizo Mhz ni za Processor yako.

  Kwa RAM jaribu kwenda Use the Crucial System Scanner software to find out what type of memory is in your computer kisha run hiyo scan, labda inaweza kutambua motherboard yako.

  Pia unaweza ukadownload program kama CPU-Z (CPUID - System & hardware benchmark, monitoring, reporting) ambayo inaweza kusoma model ya motherboard yako kisha ukajaribu kuiGoogle kuona kama unaweza ukapata mwongozo wowote.
   
 3. leh

  leh JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mkuu majibu safi sana, niongeze labda kidogo. RAM pia inapimwa in terms of Mhz (at least in terms of speed,) na kila kompyuta (or kwa utaalamu zaidi mother board) ina support speeds mpaka range fulani. while sana sana wabongo hawashuguliki na speed za RAM (wanachukua same speeds as walizokuta ndani wakiupgrade, its always worthwhile kujua the highest speed RAM that can fit into your computer)

  hdd zinakuja in two types only IDE na SATA. utajua ni SATA au ni IDE kwa connector zake zilivyo. za IDE ni pins kama za sindano na SATA ni kama plug (nitatafuta picha to better explain)

  everything unaweza badilisha on your computer mostly depends on one thing: motherboard. most BIOS zinakupa motherboard number. restart your PC, ingia kwa BIOS na ucheki model yake, jot it down na upige google search (na prefer kujifanyia vitu thana a third party app) utapata all kinds of info na how far you can modify your PC

  regards, leh[​IMG]
   
 4. leh

  leh JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  HAPO INAONYESHA MOJA KWA MOJA COMP YAKO NI YA KIZAMANI HIVYO LAZIMA ITAKUWA HAISUPPORT HARD DISK ZA SATA, HIVYO TAFUTA HARD DISK ZA IDE 320GB NA RAM ANGALAU KUANZIA 1GB NA KUENDELEA ILI KUIWEZESHA KUWA NA SPEED NZURI PINDI ITAKAPOKUWA INAKARIBIA KUJAA.

  ILI UWEZE KUTUMIA HDD ZA SATA KAMA COMP YAKO HAISUPPORT SATA UTALAZIMIKA KUNUNUA
  CONVERTER YA SATA <=> IDE for data transfer and another one for power supply
  .

  RAM
  unaweza kuweka mbili za 512MB kila moja
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Ingawaje maswali yako kidogo yana makosa kiufundi lakini yanaeleweka na nitakujibu kulingana na ulivyouliza

  MY CONCERNS:

  1. Je, naweza kuweka Hard Disk yenye ukubwa 320GB kwenye PC yenye above specifications?! If not, wht's the maximum HDD ninayoweza kuiweka.

  JIBU: Unaweza ukaongeza hard disk yenye ukubwa kama huo ulioubainisha

  2. Mara nyingi nasikia Hard Disk SATA type......maduka mengi ukienda hivi sasa unakutana na Hard Disk za aina hii. Je, can such type (SATA) work on above specified PC?

  JIBU: Kujua kama utanunua hard disk ipi, jibu litategemeana na motherboard ya PC yako, zipo ambazo zina IDE slot au SATA slot au slots zote mbili kwa pamoja. Hivyo chunguza motherboard ya PC yako imeundwa na slot ya aina gani.

  3. What maximum MEMORY (RAM) can such type of PC support?! As I've said above, ina TWO RAM SLOTS...je, inaweza ku-support above 1.66GHz?! If not, wht's the maximum RAM can it support!

  JIBU: Mara nyingi ukubwa wa memory ya RAM hutegemea aina ya Window unayohitaji kuinstall, aina ya programs unazotaka kuzitumia. Kwa wale wapenzi wa games au wahariri wa video na miziki n.k hushauriwa kuweka RAM yenye memory kubwa kidogo, vivyo hivyo kwa mtu anayetumia Windows kama VISTA au 7.  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 7. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Dah!! Wakuu, AHSANTENI SANA....very impressive answers/advices....kila nilipokuwa nasoma maoni ya mtu mmoja hadi mwingine nilikuwa najisikia kusisimka!! Sio siri; katika mazingira kama haya basi sasa mtu aamue tu kuwa wa hovyo hovyo!! Thank you very much, wacha nimpumzike kidogo kabla sijaifungua CPU na kuangalia hiyo set up ya mother board.
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  ila mkuu hizi ni HDD za laptop...jamaa si unaona kasema ana PC...hizo slot ports hazilingani na zile HDD za PC
   
 9. leh

  leh JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  najua mkuu, ni kwamba sina hdd za desktop hapa nyumbani, nikaona nimuoneshe hizo za laptop coz angalau angepata idea ya ilivyo. tofauti sio kubwa kivile niliona ataweza kuelewa utofauti wa SATA na IDE
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ni kweli hapa ili kumpa jibu zuri ni vizuri aeleze na MB(motherboard yake ni ipi na hata kujua ukubwa wa processor)
   
 11. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilikua natafuta pa kumsaidia lakini nikama yooppte yameelezwa vema
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  pouwa...
   
 13. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  lakin pamoja n hayo yote haishauriwi kwa speed ya processor kulingana na ram mfano processor 2.0ghz ram 2gb ,kwa kipimo kizuri hiyo processor yako maxmum ram isizid 1gb na for good performance isipungue 512mb thx,
   
Loading...