Msaada wa kitaalamu, hearing amplifier zinahitajika

Deaf Milionaire

JF-Expert Member
Apr 21, 2019
426
496
Wakuu heri ya sikukuu ya Pasaka,

Kuna ndugu yangu alikuwa mzima wa afya, baada ya kuumwa Malaria,kutokana na zile dawa alizotumia, masikio yameziba. Katika kuhangaika kumtibia ndio nasikia kuna kifaa jina hearing amplifier, inafaa nimnunulie.
Sasa msaada wa kitaalam nahitaji, pia ni wapi naweza uziwa hicho kifaaa. PM zitajibiwa. Ahsante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom