msaada wa kisheria


Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
4,413
Likes
972
Points
280
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
4,413 972 280
habari wadau
naomba mwenye ujuzi wa kisheria juu ya hili anifahamishe.nimekua nikifanya kazi na International organization fulani hapa tanzania(jina nalihifadhi) kwa takribani miezi mitatu na ninawadai zaidi ya $15,000 sas wamekua ni wasumbufu kwa upande wa malipo,wananizungusha,evidence zote ninazo kuhusiana na kazi nilizofanya pamoja na contract ninayo, ninachohitaji kufahamu,nataka kufungua kesi sasa nahitaji utaratibu especialy kwa international Organization
asante naamini JF ni mpango mzima nitapata ushauri pamoja na msaada
 

Forum statistics

Threads 1,272,324
Members 489,924
Posts 30,447,483