Msaada wa kisheria

GOOGLE

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
1,890
1,126
Wakuu naomba msaada wa kisheria mimi nimeagiza tablets tatu, smartphone moja na laptop moja kutoka China thamani halisi ya mzigo ni dola 680 watu wa custom Tanzania wananiomba dola 300 kama ushuru kitu ambacho siyo halali. Nifanyeje wanadugu!? Nijuavyo VAT kwa vitu km sim/ tablet au iphone ni 18% ya thaman halis pia laptop haina ushuru.
 
hee mbona kawaida sana hata kama box likiwa na nembo ya gift juu utaombwa ushuru tu we ingia mfukoni toka na 50000 upewe chako Tanzania hii
 
Back
Top Bottom