HakunaHivi kwenye sheria zetu za kazi hapa Tanzania huwa kuna kosa la "Kusudio la Kuiba?" Kama lipo je, mazingira yake ni kama yapi?
HawajiNgoja waje kukupa muongozo...
Majibu hapa tafadhariNgoja waje kukupa muongozo...
Linaitwa attempt to theft mfano simu ilikuwa inachajishwa ukaishika ukakamatwa au umekutwa kwenye nyumba ya mtu mlango upo wazi wewe unataka kuingiaHivi kwenye sheria zetu za kazi hapa Tanzania huwa kuna kosa la "Kusudio la Kuiba?" Kama lipo je, mazingira yake ni kama yapi?
Hivyo ni lazima ukamatwe si ndiyo?Linaitwa attempt to theft mfano simu ilikuwa inachajishwa ukaishika ukakamatwa au umekutwa kwenye nyumba ya mtu mlango upo wazi wewe unataka kuingia
Ndio si nikosaHivyo ni lazima ukamatwe si ndiyo?
Ni kosa la jinai au?Ndio si nikosa