hodi jamvini,great thinkers!!
ndoa yangu ni ya kikristo na imedumu kwa miaka 8 sasa na kupata mtoto mmoja wa kiume wa miaka 6. kumekuwa na kushutumiana na kutoaminiana mimi na mke wangu kwa muda mrefu sasa (chronic infedility). tuliwahi kutengana wakati fulani kwa miezi kadhaa then tukarudiana. miezi michache iliyopita tumetengana tena ila safari hii ime-involve wazazi na ndugu kadhaa pia tuliandikiana hati ya kutengana ambayo tuliisaini wote wawili na mashahidi kwenye hicho kikao kwamba wote wawili tumekubaliana kutengana kwa hiari baada ya long standing irrepearable conflicts. Tuli-set deadline ya separation ambayo ita-expire mwisho wa mwezi ujao. Kama hakutakuwa na reconcilliation hadi deadline basi tunapeana talaka rasmi na ndivyo inavyoelekea kuwa yaani hakuna anayetaka kurejea kwa mwenzake.
Naomba msaada wa maswali yafuatayo

- hati ya kutengana tuliyoandikiana na kuisaini ya kutengana mbele ya wazazi na mashahidi wengine ina nguvu/uhalali gani wa kisheria?
- nini tufanye ili kupeana divorce yenye nguvu ya kisheria baada ya deadline ya kutengana kupita?
- je, mmoja wetu akiwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu mwingine during separation ni kosa kisheria?