Msaada wa kisheria

Madame S

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
17,172
34,278
Habari za muda huu wanasheria,

Niende moja kwa moja kwenye mada, niko na mdogo wangu hapa tunahitaj kujuzwa kutokana na kisa chenyewe kilivyo, kiko hivi

Mwaka 2012 alimaliza masomo kwenye moja ya vyuo hapa Jijini Tanga, katika utafutaji wa ajira akabahatisha ofisi moja ya Kiserikali akaomba ajira hapo. Wakamjibu wao hawana uwezo wa kuajiri isipokua atume maombi yake utumishi na anuani wakamuandikia.

Akafikiria hana ujuzi wowote na ndio kwanza amemalizamasomo yake basi ni heri aombe kujitolea kwenye ofisi hiyo, kweli walimkubalia na nanukuu maneno kidogo ya kwenye hio barua "ombi lako la kujifunza kwa vitendo na kujiongezea ujuzi limepokelewa na ofisi itakua nawe mpaka pale utakapopata ajira rasmi" mwisho wa kunukuu.

Sasa mwaka 2014 afisa rasilimali watu wa hio ofisi akamwambia hawataweza kuendeleanaye na kwa kipindi anajitolea ofisiiliamua kumlipa lakimoja kwa kila mwez ajikim yeye mwenyewe, anaomba kufahamishwa je akienda kuwashtaki kua wamemuondoa kienyeji bila barua na wamemuondoa kinyume na barua kwa kua tu hajapata ajira rasmi sheria zikoje?

Aanataka kuwaburuzamahakani lakini nikaona si vyema akurupuke bila kujua sheria zitakua upande wake au la, nikaona nishee huku kwa wajuzi watusaidie, kama akiendamahakamni afate taratibu zipina je atashinda kesi?
 
Miaka 6 sasa imepita, kwa ushauri tu aachane na kesi ishu za mahakama sio rafiki sana
mimi nilimuuliza, ulikua wapimiaka yote hio uje utake kuyafanya leo? akajibu huyo afisa rasilimali watu anaona hakumtendea vyema nani baada ya kupitia file lake alilokua anatunzia kumbukumbu na mawazo hayo yakamjia yan yupo tayar kwenda mahakani hatakesho mimindio nikamwambia ngoja tupate ushaurikwanza halaftutajua cha kufanya sababu me sjui sheria zikoje wala yeye na staki akurupuke
 
Habari za muda huu wanasheria,

niende moja kwa moja kwenye mada, niko na mdogo wangu hapa tunahitaj kujuzwa kutokana na kisa chenyewe kilivyo, kiko hivi

mwaka 2012 alimaliza masomo kwenye moja ya vyuo hapa jijini tanga, katika utafutaji wa ajira akabahatisha ofisi moja ya kiserikali akaomba ajira hapo. Wakamjibu wao hawana uwezo wa kuajiri isipokua atume maombi yake utumishi na anuani wakamuandikia...
Ndio maana hata nafasi za kujitolea zikiwepo huwa mnaambiwa hakuna nafasi kwa sababu ya uzwazwa kama huu.

Sasa akashitaki nini? Kwani aliajiriwa? Mwambie aache ubwege atafute kazi, tayari keshapata experience. Aombe tu HR ampe certificate of service ili imsaidie huko aendako
 
mbona jazba?? hebukunywa maji
Ndio maana hata nafasi za kujitolea zikiwepo huwa mnaambiwa hakuna nafasi kwa sababu ya uzwazwa kama huu.

Sasa akashitaki nini? Kwani aliajiriwa? Mwambie aache ubwege atafute kazi, tayari keshapata experience. Aombe tu HR ampe certificate of service ili imsaidie huko aendako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom