Neemandandika
Member
- Aug 25, 2014
- 29
- 4
- Thread starter
- #21
Sina barua ya mimi kutoenda kazini,nilimuuliza boss akasema ongea na wakiliwa pia akatuma namba, wakili ndiye wa kwanza kusema mimi ni design nikakataa
Miezi 2 ndio iwepo polisi kweli? au tuseme ofisi iliwaomba polisi wafanya investigation na wawape majibu ila nia ya ofisi sio kuipeleka mahakamani na si ajabu imebainika kuwa hamna hatia sasa wanaona aibu kutangaza ila wanawashawishi muache kazi wenyewe waepuke mengi haya. Unaendelea na kazi? bado umesimamishwa huendi kazini walikupa barua ya kusimamishwa kazi?