Msaada wa kisheria

Ndugu wanajamvi. Kuna mfanyakazi mwenzangu ambae ni Dereva alipata Ajari mwezi mmoja uliopita. Baada ya taratibu Za kipolisi kukamilika suala hilo lilienda mahakamani lakini Yule bwana alikuwa anaendelea kurupoti kazini. Sasa akawa anashindwa kuendelelea na majukumu yake kwa kuwa Leseni ya Udereva imeshikiliwa na kituo Fulani cha Polisi wilaya ya Kilosa-Morogoro. Akawaomba Polisi wampe Leseni wakamwambia akiombe mahakama itoe ridhaa ya kupewa Leseni. Mahakama ikakubali ikamuandikia barua ambayo ilienda Polisi ili apewe Leseni lakini cha ajabu Polisi wanampiga Danadana nenda kwa huyu nenda kwa Yule tangu tarehe 20/8 hajapewa Leseni na kazini kwake wamempa siku 7 tu awe amepata Leseni la sivyo watamfukuza Kazi. Ajari aliyoipata haikusababisha majeruhi wala maafa ni Damage ya Gari. Na Huyo mtu ana fanya Kazi kwenye Moja ya Miradi mkubwa tu wa serikali.

Wataalamu wa sheria au wale mnaojua taratibu Za kimahakama na kipolisi tusaidieni tufanye nini ili kuokoa Kazi ya huyu mtanzania mwenzetu. Ila kutoa kutoa kitu kidogo ili apewe Leseni amekataa.

Regard
P. Watonga
Nenda kwenye ofsi za Mawakili huko kilosa/ Morogoro mjini ulipie consultation fee then utapewa ushauri wa kisheria. THERE IS NO FREE IN LEGAL PROFESSION.

LEGAL ADVICE IS NOT OFFERED FOR FREE.
 
Nenda kwa wakili, afungue shitaka dhidi ya OCD kwa certificate of urgency. Atafile chamber summons na affidavit.

Vinginevyo:
1) Toa rushwa.
2) Muone OCD kisha RPC.
3) in extremity nenda TAKUKURU.
 
Yanini kuhangaika kote huko? Leo aende kumwona tajiri yao (au mwakilishi wake) na kesho Jumatatu jipu litakuwa limeiva na kupasuka...pale wamezoea sana na nafikiri ni ajali au kesi iliyotokea Mikumi Mikumi huko ambao hupeleka baadhi ya kesi zao za traffic Kilosa mjini/Wilayani
 
Nenda kwa wakili, afungue shitaka dhidi ya OCD kwa certificate of urgency. Atafile chamber summons na affidavit.

Vinginevyo:
1) Toa rushwa.
2) Muone OCD kisha RPC.
3) in extremity nenda TAKUKURU.

Asante kwa ushauri nitaufanyia Kazi.
 
Ndugu wanajamvi. Kuna mfanyakazi mwenzangu ambae ni Dereva alipata Ajari mwezi mmoja uliopita. Baada ya taratibu Za kipolisi kukamilika suala hilo lilienda mahakamani lakini Yule bwana alikuwa anaendelea kurupoti kazini. Sasa akawa anashindwa kuendelelea na majukumu yake kwa kuwa Leseni ya Udereva imeshikiliwa na kituo Fulani cha Polisi wilaya ya Kilosa-Morogoro. Akawaomba Polisi wampe Leseni wakamwambia akiombe mahakama itoe ridhaa ya kupewa Leseni. Mahakama ikakubali ikamuandikia barua ambayo ilienda Polisi ili apewe Leseni lakini cha ajabu Polisi wanampiga Danadana nenda kwa huyu nenda kwa Yule tangu tarehe 20/8 hajapewa Leseni na kazini kwake wamempa siku 7 tu awe amepata Leseni la sivyo watamfukuza Kazi. Ajari aliyoipata haikusababisha majeruhi wala maafa ni Damage ya Gari. Na Huyo mtu ana fanya Kazi kwenye Moja ya Miradi mkubwa tu wa serikali.

Wataalamu wa sheria au wale mnaojua taratibu Za kimahakama na kipolisi tusaidieni tufanye nini ili kuokoa Kazi ya huyu mtanzania mwenzetu. Ila kutoa kutoa kitu kidogo ili apewe Leseni amekataa.

Regard
P. Watonga
Polisi wengi wana roho mbaya, awape tu hela kidogo,wanataka rushwa hao , au akatoe taarifa kituo kingine cha polisi kuwa leseni imepotea then atapewa Loss report ambayo ataenda nayo mamlaka inayotoa leseni ili apewe nyingine nadhani labda,
 
Akiomba loss report maana yake anaenda kulipia upya leseni. Na sasa ni 75k
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom