Palanka Watonga
New Member
- Aug 21, 2019
- 3
- 2
P. Watonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwenye ofsi za Mawakili huko kilosa/ Morogoro mjini ulipie consultation fee then utapewa ushauri wa kisheria. THERE IS NO FREE IN LEGAL PROFESSION.Ndugu wanajamvi. Kuna mfanyakazi mwenzangu ambae ni Dereva alipata Ajari mwezi mmoja uliopita. Baada ya taratibu Za kipolisi kukamilika suala hilo lilienda mahakamani lakini Yule bwana alikuwa anaendelea kurupoti kazini. Sasa akawa anashindwa kuendelelea na majukumu yake kwa kuwa Leseni ya Udereva imeshikiliwa na kituo Fulani cha Polisi wilaya ya Kilosa-Morogoro. Akawaomba Polisi wampe Leseni wakamwambia akiombe mahakama itoe ridhaa ya kupewa Leseni. Mahakama ikakubali ikamuandikia barua ambayo ilienda Polisi ili apewe Leseni lakini cha ajabu Polisi wanampiga Danadana nenda kwa huyu nenda kwa Yule tangu tarehe 20/8 hajapewa Leseni na kazini kwake wamempa siku 7 tu awe amepata Leseni la sivyo watamfukuza Kazi. Ajari aliyoipata haikusababisha majeruhi wala maafa ni Damage ya Gari. Na Huyo mtu ana fanya Kazi kwenye Moja ya Miradi mkubwa tu wa serikali.
Wataalamu wa sheria au wale mnaojua taratibu Za kimahakama na kipolisi tusaidieni tufanye nini ili kuokoa Kazi ya huyu mtanzania mwenzetu. Ila kutoa kutoa kitu kidogo ili apewe Leseni amekataa.
Regard
P. Watonga
Nenda kwa wakili, afungue shitaka dhidi ya OCD kwa certificate of urgency. Atafile chamber summons na affidavit.
Vinginevyo:
1) Toa rushwa.
2) Muone OCD kisha RPC.
3) in extremity nenda TAKUKURU.
Nenda kwa wakili, afungue shitaka dhidi ya OCD kwa certificate of urgency. Atafile chamber summons na affidavit.
Vinginevyo:
1) Toa rushwa.
2) Muone OCD kisha RPC.
3) in extremity nenda TAKUKURU.
Polisi wengi wana roho mbaya, awape tu hela kidogo,wanataka rushwa hao , au akatoe taarifa kituo kingine cha polisi kuwa leseni imepotea then atapewa Loss report ambayo ataenda nayo mamlaka inayotoa leseni ili apewe nyingine nadhani labda,Ndugu wanajamvi. Kuna mfanyakazi mwenzangu ambae ni Dereva alipata Ajari mwezi mmoja uliopita. Baada ya taratibu Za kipolisi kukamilika suala hilo lilienda mahakamani lakini Yule bwana alikuwa anaendelea kurupoti kazini. Sasa akawa anashindwa kuendelelea na majukumu yake kwa kuwa Leseni ya Udereva imeshikiliwa na kituo Fulani cha Polisi wilaya ya Kilosa-Morogoro. Akawaomba Polisi wampe Leseni wakamwambia akiombe mahakama itoe ridhaa ya kupewa Leseni. Mahakama ikakubali ikamuandikia barua ambayo ilienda Polisi ili apewe Leseni lakini cha ajabu Polisi wanampiga Danadana nenda kwa huyu nenda kwa Yule tangu tarehe 20/8 hajapewa Leseni na kazini kwake wamempa siku 7 tu awe amepata Leseni la sivyo watamfukuza Kazi. Ajari aliyoipata haikusababisha majeruhi wala maafa ni Damage ya Gari. Na Huyo mtu ana fanya Kazi kwenye Moja ya Miradi mkubwa tu wa serikali.
Wataalamu wa sheria au wale mnaojua taratibu Za kimahakama na kipolisi tusaidieni tufanye nini ili kuokoa Kazi ya huyu mtanzania mwenzetu. Ila kutoa kutoa kitu kidogo ili apewe Leseni amekataa.
Regard
P. Watonga
Akiomba loss report maana yake anaenda kulipia upya leseni. Na sasa ni 75kPolisi wengi wana roho mbaya, awape tu hela kidogo,wanataka rushwa hao , au akatoe taarifa kituo kingine cha polisi kuwa leseni imepotea then atapewa Loss report ambayo ataenda nayo mamlaka inayotoa leseni ili apewe nyingine nadhani labda,
efu sabini tuAkiomba loss report maana yake anaenda kulipia upya leseni. Na sasa ni 75k