Msaada wa kisheria za manunuzi je mhasibu anaruhusiwa kushika tena,na kujiandikia check za kujilipa?

Hapana ....
Conflict of interest itatokea kwenye taasisi au kampuni..
No internal control system nzuri hapo
Kwani hiyo ofisi haina operational manual on financial policy and procurements policy mpaka mhasibu achukue tender?
 
Back
Top Bottom