Abdoulrashiedy_19
Member
- Oct 8, 2015
- 5
- 2
Habari, nilikuwa nikifanya kazi kwenye kampuni fulani ya uuzaji wa mafuta,nimefanya kazi kwa muda wa miezi 10 bila kupewa mkataba unaonifanya kujua haki na stahiki zangu kwa kipind chote mpka iipofka tar 30.11.2021 nikaamua kuacha kazi lkn hawatak kunipa barua inayothibitisha nimeacha kaz ili niweze kufatilia haki zangu,je ninahaki zangu zozote za kisheria hapo??