Msaada wa kisheria tafadhari

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,767
Rafiki yangu anahitaji msaada au ushauri wa kisheria. Mwaka jana mnamo mwezi wa 12 rafiki yangu aliingia kwenye mahusiano na mdada wa kiislam na yule dada kwa namna moja au nyingine akawa amefanikisha kumbadilisha dini mshikaji wangu🥺.

Baadae mambo yao yakawa yamenoga wakaanza taratibu za kuoana na mwezi mmoja kabla jamaa alianza kupata shida ya kujiuliza kwanini alibadili dini(hii ni kulingana na maelezo yake) baadae mwana akamwambia demu mie siwezi kuwa muislam narudi katika dini yangu. Na akawa amesisitiza kabisa kuwa kama kuahirisha ndoa iahirishwe. Demu wake akawa amemuomba asimuaibishe kwa maana alikuwaameshaalika watu kwajili ya shughuli yao.

Demu alimbembeleza sana mwana ili wafunge ndoa na akamwambia anaweza kurudi kwenye imani yake baada ya harusi. Baadaue kamaa akakubaliana na wazo la manzi ake na harusi yao ikafanyika na hatimaye wakawa mke na mume.

Wiki kadhaa baadae mahikaji akarudi kwenye imani yake na manzi akaanza kulalamika kuwa jamaa amembadilikia na akaanza kudai kuwa kama yeye(mwanaume atarudi kwenye ukristo hakuna ndoa) basi mshikaji hakujali hilo akarudi kwenye imani yake.

Sasa jamaa na manzi yake mambo hayaendi vyema, na kuna wakati mshikaji anadai anajilaumu kwanini aliganya maamuzi hayo na anaenda mbali kumlaumu huyu demu kwanini alimhawishi kubadili dini. Hivi sasa jamaa anadai hana hisia tena na huyu demu(mkewe).

Tatizo linaanza: Jamaa anatamani kama wakiachana, maana hana tena hisia naye, sheria ya ndoa inasemaje kuhusu kwa suala kama hili ? Au kama kuna ushauri wowote tafadhairi usisite kutoa huwezi jua mawazo yako yanaweza kukuokoa maisha ya mtu

Kwenu wana jamvi!
 
Kwa mujibu wa Uislam, kubadili dini kunaweza kutumika kama sababu kuvunja ndoa.

Alternatively, anaweza kumpa talaka pia, Uislam hauna vikwazo sana kwenye kupeana talaka
 
Rafiki yangu anahitaji msaada au ushauri wa kisheria. Mwaka jana mnamo mwezi wa 12 rafiki yangu aliingia kwenye mahusiano na mdada wa kiislam na yule dada kwa namna moja au nyingine akawa amefanikisha kumbadilisha dini mshikaji wangu. Baadae mambo yao yakawa yamenoga wakaanza taratibu za kuoana na mwezi mmoja kabla jamaa alianza kupata shida ya kujiuliza kwanini alibadili dini(hii ni kulingana na maelezo yake) baadae mwana akamwambia demu mie siwezi kuwa muislam narudi katika dini yangu. Na akawa amesisitiza kabisa kuwa kama kuahirisha ndoa iahirishwe. Demu wake akawa amemuomba asimuaibishe kwa maana alikuwaameshaalika watu kwajili ya shughuli yao.
Demu alimbembeleza sana mwana ili wafunge ndoa na akamwambia anaweza kurudi kwenye imani yake baada ya harusi. Baadaue kamaa akakubaliana na wazo la manzi ake na harusi yao ikafanyika na hatimaye wakawa mke na mume.
Wiki kadhaa baadae mahikaji akarudi kwenye imani yake na manzi akaanza kulalamika kuwa jamaa amembadilikia na akaanza kudai kuwa kama yeye(mwanaume atarudi kwenye ukristo hakuna ndoa) basi mshikaji hakujali hilo akarudi kwenye imani yake.
Sasa jamaa na manzi yake mambo hayaendi vyema, na kuna wakati mshikaji anadai anajilaumu kwanini aliganya maamuzi hayo na anaenda mbali kumlaumu huyu demu kwanini alimhawishi kubadili dini. Hivi sasa jamaa anadai hana hisia tena na huyu demu(mkewe).
Tatizo linaanza: Jamaa anatamani kama wakiachana, maana hana tena hisia naye, sheria ya ndoa inasemaje kuhusu kwa suala kama hili ? Au kama kuna ushauri wowote tafadhairi usisite kutoa huwezi jua mawazo yako yanaweza kukuokoa maisha ya mtu

Kwenu wana jamvi!
Kitendo cha kuukana uislam tu ndoa pia inakua imekumbwa na natural death (Kwa sheria za kiislam).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom