Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaiyo kama nimempa mtu pesa zangu bila kuandikishiana imekula kwangu?
kwaiyo kama nimempa mtu pesa zangu bila kuandikishiana imekula kwangu?
Hapana,, inategemea ! ! ushahidi maana na lengo lake ni kuthibitisha tendo fulani kuwa ni hakika, unaweza ukawa wa maandishi, picha, sauti, mtu wa tatu aliona watu wawili kukopeshana, ili mradi kuthibitisha kwamba kweli tendo hilo lilifanyika. . . . . .
kwaiyo kama hakukuwa na shahidi yyte naweza kumchukua mtu na akasema aliona hilo tukio na ikakubalika?
Unakubalika kwenye kukopeshana kitu gani?Ushahidi wa kuona HAUKUBALIKI kwenye kesi ya kukopeshana hela
kaka Kama mlipeana hela bila maandishi usiogope, nenda polisi kashtaki ila inabidi ujenge hoja ionekane kama alikurubuni kwa makubaliano ya kuuziana kitu Fulani wala isionekane kama mlikopeshana kisha ongea na polisi "vizuri" wamlaze jamaa ndani itabidi uongee "vizuri" tena na polisi wamshurutishe jamaa asaini makubaliano ambayo tayari utakuwa umeyaanda mfano mimi.......nimepokea sh......kutoka kwa.......ambazo nitazirudisha tarehe.......naweka dhamana ya mali zangu zenye thamani ya sh .........ambazo zitatumika kufidia deni nisipoweza kulipa, unaweza pia kuupeleka kwa mwanasheria akautie saini. ningekushauri vema kama ningejua mmepeana hela kwa makubaliano gani na kama jamaa ameonyesha dhamira ya wazi ya kutokuwa tayari kukulipa 078478449wakuu naomba msaada wa kisheria.... hivi
kwenye kesi ya kukopeshana pesa ni ushahidi
gani ambao unatakiwa mahakamani? i mean wa
mtu kuona au wa maandishi?