msaada wa kisheria tafadhari

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,446
6,308
wakuu naomba msaada wa kisheria.... hivi kwenye kesi ya kukopeshana pesa ni ushahidi gani ambao unatakiwa mahakamani? i mean wa mtu kuona au wa maandishi?
 
Mliandikishiana? Kama hamjaandikishiana mpeleke mahakamani kama akikiri kwamba ulimkopesha kesi itaendelea ila hakikana utaambiwa upeleke meshahidi,je unao mashahidi? Kama unao mpeleke ubaoni tu.
 
Watchout with bush lawyers mkuu.je ulimkopesha kwa makubaliano yapi ingekuwa vyema ungeweka maelezo yote hapa usaidiwe ukute ulimkopesha akurudishie kwa liba ama hakuna makubaliano ya tenure so ktk hili nawe inabidi uwe makini sana namna ya kutoa maelekezo mahakaman vinginevyo mtapotezeana muda nakushauri jaribu tumia shortcut ya polisi kwanza ili utengeneze mazingira ya kudhulumiwa kuliko kusonga na civil case yako
 
hakuna maandishi yoyote mkuu zaidi ya mtu ambae aliona wakati natoa pesa
 
Mliandikishiana? Kama hamjaandikishiana mpeleke mahakamani kama akikiri kwamba ulimkopesha kesi itaendelea ila hakikana utaambiwa upeleke meshahidi,je unao mashahidi? Kama unao mpeleke ubaoni tu.

ushahidi wa kuona? kusikia? au wa maandishi?
 
kwani mlilipana vipi? ulimpatia pesa cash mkononi mkiwa wawili tu au kulikuwa na watu wengine walioona unamkopesha hela?, au je? ulimkopesha pesa ukamuwekea mpesa/tigopesa/airtelmoney etc?, au ulimkopesha kwa kumuwekea kwenye akaunti yake hivyo unazo documents za deposit,...ulitumia means gani kumpatia, na ni nani mwingine alishuhudia ukimpatia pesa.

hata kama hakukuwa na maandishi, kama kuna mashahidi waliokuwepo wakishuhudia unatoa pesa kama mkopo, shahidi zaidi ya mmoja wawili watatu etc, italeta sense. kama ulimtumia mpesa unaweza kuomba printout ikusaidie, kama ulitumia bank hivyohivyo. ila kama mlipeana wawili tu kwa cash mkononi hakuna hata mtu aliyeshuhudia na yeye hajawahi kudeclare kwa mtu yeyote kuwa wewe unamdai, hapo anao uwezo kukuruka hatua mia nane na hautakuwa na ushahidi wowote kwahiyo itabidi uwe mpole umbambeleza akulipe tu ukienda kwa force anaweza kukushut up. SHERIA KWA KISWAHILI

Sorry kwa mtoa mada na kwa Idunda naomba kuipindisha mada kidogo. Idunda unaonekana una roho ya kusaidia sana nimekusoma kule kwenye post nyingine ndio maana nimeshawishika kukuomba msaada hapa badala ya kupost post mpya kwani nimefanya hivyo mara mbili na sikupata msaada stahiki.

Ni kwamba ninaishi kwenye eneo ambalo liko surveyed na ni residential kwa mujibu wa master plan. Bahati mbaya tuna jirani mkorofi sana akilala na kuamka anajenga guest akilala tena akiamka anajenga bar kitu ambacho ni makosa na ukiukwaji wa haki za wakazi wengine wa eneo hili. Kwa sasa amejenga bar opposite my house leo kafungua rasmi, imagine environment imebadilika completely, actually hapafai tena kwa makazi ya binadamu hasa kama unataka kuishi maisha discent.

Katika kutafuta ufumbuzi wa jambo hili, nimefuatilia sana manispaa ya Temeke ambako mipango miji wako very cooperative. Niliwachukua land rangers wawili mpaka eneo la tukio na mtuhumiwa walimwita ofisini na ikawa proved kwamba hana vibali husika. Kiutaratibu according to these land rangers, ni kwamba wao hawapaswi kuchukua action. So wanachopaswa kufanya ni kuadvise ofisi ya sheria wachukue hatua. Imekuwa ngumu sana kuwapata hawa municipal lawyers na jana ndio niliwaona. Kifupi ni kwamba mtuhumiwa huenda amekwisha warambisha hawa lawyers kwani wanachoongea hawapaswi kukiongea hata kama ni graduates wa chuo cha kata. OMBI LANGU KWAKO IDUNDA NA WENGINE NI VIPI SISI TUTAPATA HAKI YA KUISHI ENEO LA MAKAZI KAMA MASTER PLAN INAVYOELEKEZA?
 
Mkuu pole kwa hadha unayoipata...haki ya kuishi kwenye mazingira tulivu ni haki yako ya kikatiba..so unasababu zote za kuidai.
Kwa kuwa swala lako bado liko ngazi za kiutawala (temeke municipal) ningekushauli upitie ngazi zote za kiutawala ndani ya manispaa husika kabla hujafikiria kuchukua hatua zingine za kisheria hii itakusaidia mbeleni ka utafikia uamuzi wa kuchukua hatua za kimahakama.
Kwahiyo ndugu ka wanasheria wa manispaa wanakuzengua mtwange barua mkurugenzi afu cc ofisi ya wanasheria ukieleza malalamiko yako huku kuonesha ni wapi umekwama..
Ebu fanya hilo afu uone response yao
 
Mkuu Mbeky ahsante sana kwa kujali kwako. Actually nilipoandika barua municipal addressee alikuwa Mkurugenzi kwa mujibu wa utaratibu. Kama nimekusoma vizuri unashauri niandike follow up letter nikiwacc ofisi ya sheria right? Kama ndivyo then nitafanya hivyo baada ya kupata written response kutoka municipal kwani zile blah blah za lawyers (I'm not even sure kama napaswa kuwaita lawyers) zilikuwa ni verbal so nilidemand written ambayo ndio hiyo ninaifuatilia. Nitaendela kuwaupdate kwa faida ya wengine pia na kuomba msaada pale inapobidi.
 
Ebu fanya hivyo kwanza na jitahidi kutunza barua zote mnazojibishana
 
Back
Top Bottom