jipitishe
Member
- Sep 12, 2011
- 55
- 10
Habari zenu wadau Naomba kujuzwa juu ya hili. Mimi niliajiriwa sehemu fulani na nimefanya kazi kwa takriban mwaka mmoja. Lakin sikuwa nimepewa contract zaidi ya offer letter na confirmation letter(nilipewa confirmation baada ya kumaliza probation) ila sikupewa contract wakawa wananipiga danadana, hatimaye nikapata kazi nyengine ilionilazimu niache kazi ndani ya saa 24, sasa mwajiri wangu anadai nirudishe mshara wa mwezi uliopita...je sheria inasemaje kuhusu hili ilhali mimi sikuwa na contract?