MSAADA WA KISHERIA [Shamba Langu Limevamiwa na Aliyeniuzia] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA WA KISHERIA [Shamba Langu Limevamiwa na Aliyeniuzia]

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Muke Ya Muzungu, Aug 3, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nilinunua shamba dogo tu hekari mbili 2009. Baada ya kuuziwa shamba, mfanyakazi au mlinzi wa muuzaji alinifuata kuniomba kununua kipande kingine kando. Nilikataa kwani shamba alilotaka kuniuzia halikuwa halali. Baada ya hapo akanza fitna na mke wangu

  Majuzi, akazuka kwamba tunataka kumuua na shamba tumeongeza. Shamba hatukuzidisha. Ni huyo mfanya kazi ndiye aliyepima, aliyefyeka hilo shamba letu. Wanalotaka ni kwamba niwaongezee hela. Sina hela. Miaka mitatu imepita ndio wanarudi. Mbaya zaidi siku weekend iliyopita walirudi bila mimi kuwepo na kuligawa shamba langu nusu ambayo ni sawa na uvamizi wakati nimeshajenga na kuendeleza ardhi.

  Nadhani statute of limitations inanipa nguvu kwani baada ya miaka mitatu hawajaonekana shambani kwangu. Naomba mwanasheria anisaidie kuweka injunction wasikaribie wala kuja kwenye shamba langu. Na kama watakuja au kukata shamba, wawekewe madai. Pili walipe legal fees zote (Small Claims)

  1. Naomba msaada nini cha kufanya
  2. Statute of limitations ni applicable kwenye kesi kama hii kwa sababu tuliuziana ardhi in 2009, wao ndio waliipima, kuishafisha etc lakini matokeo yake wanarudi kutugeuka miaka mitatu baadae
  3. Nawezaje kuwazuia kuingia kwenye shamba langu? (court injunction)

  mbezi1980@yahoo.com

  Shukrani
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nilinunua shamba dogo tu hekari mbili 2009. Baada ya kuuziwa shamba, mfanyakazi au mlinzi wa muuzaji alinifuata kuniomba kununua kipande kingine kando. Nilikataa kwani shamba alilotaka kuniuzia halikuwa halali. Baada ya hapo akanza fitna na mke wangu

  Majuzi, akazuka kwamba tunataka kumuua na shamba tumeongeza. Shamba hatukuzidisha. Ni yeye na huyo mfanya kazi wake ndio walionipimia shamba, na ndio waliofyeka hilo shamba. Wanalotaka ni kwamba niwaongezee hela. Sina hela. Miaka mitatu imepita ndio wanarudi. Mbaya zaidi weekend iliyopita walirudi bila mimi kuwepo na kuligawa shamba langu nusu ambayo ni sawa na uvamizi wakati nimeshajenga na kuliendeleza ardhi.

  Nadhani statute of limitations inanipa nguvu kwani baada ya miaka mitatu hawajaonekana shambani kwangu. Naomba mwanasheria anisaidie kuweka injunction wasikaribie wala kuja kwenye shamba langu.

  1. Naomba msaada nini cha kufanya
  2. Je Statute of limitations ni applicable kwenye kesi kama hii kwa sababu tuliuziana ardhi in 2009, wao ndio waliipima, kuishafisha etc lakini matokeo yake wanarudi kutugeuka miaka mitatu baadae
  3. Nawezaje kuwazuia kuingia kwenye shamba langu? (court injunction)
  4. Kuna uwezekani kuwafungulia kesi ya madai na uvamizi

  mbezi1980@yahoo.com

  Shukrani
   
 3. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Je mliingia mkataba wowote wa mauziano?
  Je shamba hilo lina mipaka inayofahamika? Je mipaka hiyo iliainishwa kwenye mkataba wa mauziano? Serikali ya kijiji (Afisa Mtendaji) iliidhinisha mauziano hayo, vipi kuhusu mashahidi?

  Kama maswali yote hapo juu yanajibika ndiyo unaweza kuwashitaki kwa kufungua shauri la madai ya ardhi na unaweza kuiomba Mahakama kuweka zuio.
  Sheria ya ukomo (The Law of Limitation Act, Cap 89) kuhusu maswala ya ardhi ni miaka 12 ambapo haihusiki kwa swala lako.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Nenda na Bastola halafu waite hao wanaosema kwamba kiwanja chao then itoe halafu uwaambie nionyesheni mpaka unaishia wapi? Watakuonyesha mpaka sahihi na ndio utakuwa mwisho wao kuja shambani kwako!
   
Loading...