Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi CWT?

Andika barua ya madai kwa mwajiri wako aache kukukata makato hayo pia akurudishie makato yote aliyowahi kukata. Kakuonea sana, chama chochote kile ili uwe mwanachama ni lazima uombe uanachama

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nani yuko nyuma ya CWT? Maana inajulikana ni chama kisichokubalika na wahusika ila kinaogopwa na hata wabunge wamekaa kimya!
 
Back
Top Bottom