Msaada wa kisheria, nimetapeliwa usd $$5000 na raia wa burundi

MSATULAMBALI

Senior Member
Apr 1, 2012
187
55
naomba msaada wa kisheria nimetapeliwa na bwana mmoja raia wa burundi jina lake ni JANVIER NDUWAYO raia wa burundi, jumla ya fedha dolla elfu tano na euro 800, alikuwa ananisaidia kunitafutia udahili wa chuo uingereza, nikatakiwa kulipia ada na application fees, siku ya mwisho tuliachana bujumbura nyakabiga ya 17, ambapo alitoweka na ada yangu na fedha kwa ajiri ya ticket, nilimfuatilia nairobi sikumpata ikabidi nirudi nyumban tanzania...sasa sijajua ntawezaje kupata haki yangu../mbaya zaidi hook up ilifanywa na mtanzania anaeishi birmigham akanidirect kwa janvier anisaidie kupata admission kiurahisi sasa jamaa nae hajui huyu mtu alipo...anatembelea sana england, holland, belgium, kenya na burundi...msaada kisheria naomba nijue pa kuanzia
 
Pole sana ndugu yangu.. Najua unaweza kuchekwa na kulaumiwa kwamba hukua makini, lakini ajali hutokea.
1. Huyo jamaa wa b' ham ndo suspect wa kwanza.
2. Kama bado una applications form za hzo chuo jaribu kuwasiliana nao , vyuo vingi wanatoa application form kwa number.

La mwisho ambalo ndo muhimu zaidi, omba Mungu akusaidie kwani " dhulma haidumu na hata ikidumu inaangamiza"

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
naomba msaada wa kisheria nimetapeliwa na bwana mmoja raia wa burundi jina lake ni JANVIER NDUWAYO raia wa burundi, jumla ya fedha dolla elfu tano na euro 800, alikuwa ananisaidia kunitafutia udahili wa chuo uingereza, nikatakiwa kulipia ada na application fees, siku ya mwisho tuliachana bujumbura nyakabiga ya 17, ambapo alitoweka na ada yangu na fedha kwa ajiri ya ticket, nilimfuatilia nairobi sikumpata ikabidi nirudi nyumban tanzania...sasa sijajua ntawezaje kupata haki yangu../mbaya zaidi hook up ilifanywa na mtanzania anaeishi birmigham akanidirect kwa janvier anisaidie kupata admission kiurahisi sasa jamaa nae hajui huyu mtu alipo...anatembelea sana england, holland, belgium, kenya na burundi...msaada kisheria naomba nijue pa kuanzia

Nenda kamshitaki ubalozini kwao hapa, halafu watajaribu kutafuta taarifa zake. Kama wanazo watakukamatia. Ila kubwa hapa anaweza kuruka kwamba hajachukua hizo pesa kwa sababu hamjaandikishiana mahali popote. Kama papo angalau watakusaidia kuweza kukushauri nini cha kufanya. Pole. Mbona vyuo siku hizi ni vingi ni education background yako na pesa tu unaweza communicate kwenye mtandao hadi addimission.
 
Back
Top Bottom