Msolopagazi
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 663
- 153
Jamani mimi nilikuwa mfanyakazi kwenye sekta ya madini nimeachishwa kazi muda wa miezi nane lakini kila nikienda NSSF nazungushwa njoo baada ya miezi miwili mara mwezi bila mafanikio je kuna njia gani nitaweza kutumia labda ili niweze kupata haraka. Nitashukuru sana kwa mawazo yenu.