EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Yeye ameanzisha hii thread baada ya mimi kuomba ushauri wa kisheria kuhusu madai.infact ni kama kulipiza kwa vile mm nimeomba ushauri hapa jamvini.
Kwa hiyo nyie ni mdai na mdaiwa?
Yeye ameanzisha hii thread baada ya mimi kuomba ushauri wa kisheria kuhusu madai.infact ni kama kulipiza kwa vile mm nimeomba ushauri hapa jamvini.
huo ndo ukweli mheshimiwa,Kwa hiyo nyie ni mdai na mdaiwa?