Sio kusumbuana ni kuelimishana tu, kwamba sheria inasemaje, maana wengine hatuna uelewa wa maswala hayo, kujua stahili yako n nzuri sana ktk maishaAcha hizo TWO WEEKS unataka kuanza kusumbuana na watu? Wakati mwingine hali kama hiyo ipokee huenda kuna kazi alikuwa anaitegemea ili aweze kukuajiri bahati mbaya imekataa. Huenda kwa kuwa ana mawasiliano yake akakuhitaji baadaye
kwahiyo n sahihi kuanza kufanya kazi pasipo n mkataba?
Acha hizo TWO WEEKS unataka kuanza kusumbuana na watu? Wakati mwingine hali kama hiyo ipokee huenda kuna kazi alikuwa anaitegemea ili aweze kukuajiri bahati mbaya imekataa. Huenda kwa kuwa ana mawasiliano yake akakuhitaji baadaye
Hizi sio ngonjera za kupiga blah blah mitandaoni.
Onana na wakili ashughulike na tatizo lako on practical basis!
Kwenye mambo ya sampuli hii hauhitaji ushauri nasaha, unahitaji kazi na kushughulikiwa tatizo PRACTICALLY.
Nimesoma comment yako mara 2
Nimegundua wew ndo mwenye ttzo tena kubwa
Mi naona hata hivyo kapendelewa maana amelipwa! Sijui anataka wampe mkataba hata kama hawajamkubali!?
HAPANA. Probation na terms zake zinapaswa kuwa kwenye MKATABA RASMI wa kazi.Huhitaji mwanasheria hapo, ni straight kwamba hakuwa mfanyakazi, alikuwa kwenye interview bado.
HAPANA. Probation na terms zake inapaswa kuwa kwenye mkataba wa kazi...
Probation haifanyiki tu kiholela unaitwa na kupewa kienyeji enyeji. Hii haiko sawa.
Huyu aonane na wakili.
nimekuelewa vizuri sana, isipokuwa ungejielekeza kwenye thread ingependeza zaidi kuliko kunishambulia na kunizoom nikoje ndani yangu, Lengo ni kuelewa tu sababu nilipata chance mbili, moja mkoani ingine mjini, nikaona nibaki mjini ambako tayari nina uzoefu napo, inapotokea swala kama ili ni lazma uloose mentally, ukiangalia option ya pili nayo ishapotea, sababu kuu pia naelewa Wachina hufanyaga mengi pasipo uelewa wa kisheria au tu huwa hawataki kuzingatiaHuyu jamaa anaonesha ni mtata, na inawezekana hata kazi ametemeshwa kwa sababu hiyo.
Kaambiwa atafanyiwa probation ya 2 weeks, akionekana anafaa atapewa kazi. 2 weeks zimeisha na imeonekana hafai, anataka mkataba wa 2 weeks ambazo ameshalipwa.
Pole sana lako ni kubwa zaidi ya langu na kuna ambao yao n makubwa zaidi ya ilo la kwako, na nadhani kisheria la kwako lipo wazi zaidi ni vile tu umeona utumie busara na umakini kutafuta solution. utafika tu ata usijalibora wewe kuliko sisi tuliopewa mshahara wa mwisho mwezi wa 3 na kupewa likizo bila malipo kwa muda usiojulikana!!.na tuna mikataba yetu ambayo iko valid.sijui tunabaki kundi lipi??