Wakuu naombeni msaada wenu.
Kuna mtu nilimkopesha pesa akakwama kulipa. Akaja akaomba kuwa kakwama nikaita mashahidi akaomba mwaka mzima ndio awe amelipa hiyo hela na juzi baada ya mwaka kupita hajaleta hiyo hela.
Ushahidi wa maandishi na mashahidi wote wapo. Je, nikifungua kesi mahakamani naweza kumwomba hakimu atoe muda mfupi wa kulipa deni ikizingatia muda alioniahidi uongo?
Nini ushauri wenu juu ya kesi hii Kabla sijaenda mahakamani kutafuta haki yangu?
Nishaurini please