Msaada wa kisheria kesi ya madai please

ladyfocus

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
970
706
Wakuu naombeni msaada wenu.

Kuna mtu nilimkopesha pesa akakwama kulipa. Akaja akaomba kuwa kakwama nikaita mashahidi akaomba mwaka mzima ndio awe amelipa hiyo hela na juzi baada ya mwaka kupita hajaleta hiyo hela.

Ushahidi wa maandishi na mashahidi wote wapo. Je, nikifungua kesi mahakamani naweza kumwomba hakimu atoe muda mfupi wa kulipa deni ikizingatia muda alioniahidi uongo?

Nini ushauri wenu juu ya kesi hii Kabla sijaenda mahakamani kutafuta haki yangu?

Nishaurini please
 
Nini ilikua dhamana ya mkopo? Je makubaliano yenu yalikua ya kisheria?
hakukua na dhamana ya mkopo. Tulifanya kikao na mashahidi tukaandikishana na mashahidi wakasign je haitoshi kutumika kama ushahid au lazima angekuwepo mwanasheria?
 
Wakuu naombeni msaada wenu.

Kuna mtu nilimkopesha pesa akakwama kulipa. Akaja akaomba kuwa kakwama nikaita mashahidi akaomba mwaka mzima ndio awe amelipa hiyo hela na juzi baada ya mwaka kupita hajaleta hiyo hela.

Ushahidi wa maandishi na mashahidi wote wapo. Je, nikifungua kesi mahakamani naweza kumwomba hakimu atoe muda mfupi wa kulipa deni ikizingatia muda alioniahidi uongo?

Nini ushauri wenu juu ya kesi hii Kabla sijaenda mahakamani kutafuta haki yangu?

Nishaurini please
Kwanza angalia Kama ana mali ambayo ikiuzwa pesa zinaweza kupatikana, nje ya nyumba ya familia.
 
Back
Top Bottom