Msaada wa kisheria katika kuanzisha kampuni

kauzu

Member
Oct 4, 2010
74
3
Poleni na majukumu ya kila siku.Nilikuwa naomba msaada wa kisheria juu ya uanzishwaji wa kampuni.Kwa yeyote anayeweza kunisaidia katka hili naomba tuwasiliane kwa 0759-835929,au 0717-034065
 
Nakuomba urejee katika sheria ya makampuni sura namba 212. Hii inakuwezesha kufahamu taratibu zote za kufuata ili kuanzisha kampuni liwe la umma, binafsi nk.
 
Siyo muwasiliane kwenye namba yako, acha uchoyo! Amwage hapa hili ni jukwaa la kuelimishana
 
Poleni na majukumu ya kila siku.Nilikuwa naomba msaada wa kisheria juu ya uanzishwaji wa kampuni.Kwa yeyote anayeweza kunisaidia katka hili naomba tuwasiliane kwa 0759-835929,au 0717-034065
Kizungu kipo nimwage document apa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom