Msaada wa kisheria, Je akigundua namba yangu itampa nguvu kisheria? Na atanishtaki kwa kosa gani?

Mkuu ikithibitika ulimbandua mke wa mtu ni kosa la ugoni lina faini sijui fidia lakini sio kifungo na faini yake ndogo sana hailingani na uchungu wa kugongewa au hailingani na utamu wa kubandua mke wa mtu. Hapa ndio penye udhaifu wa sheria zetu. Jambo la infidelity au adultery ni kubwa sana linaweza kusababisha homicide linastahili adhabu kali kuliko wizi wa kuku au simu.
Kwenye kitabu chetu cha kanuni za adhabu (penal code Cap 16 RE 2002) Hamn sehem wameweka hy kula mke wa MTU kama offense lbd kwa common law lkn kwetu sio kosa kbs
 
Kumbe! Shukran mkuu kwa taarifa. Hiyo niliwaho kuisoma ktk kijitabu flani hivi kilikuwa kinazungumzia sheria ya ndoa ya mwaka 72 sijui sikumbuki vizuri mkuu. Ni zamani sana namimi mbovu wa kukariri tarehe za matukio na vifungu hata vya vitabu vya dini. Historia ilinishinda kabisa.
 
Kwenye kitabu chetu cha kanuni za adhabu (penal code Cap 16 RE 2002) Hamn sehem wameweka hy kula mke wa MTU kama offense lbd kwa common law lkn kwetu sio kosa kbs
Asante mkuu, hiyo common law ndio zikoje?
 
Kwenye kitabu chetu cha kanuni za adhabu (penal code Cap 16 RE 2002) Hamn sehem wameweka hy kula mke wa MTU kama offense lbd kwa common law lkn kwetu sio kosa kbs
Asante mkuu, hyo common law ndio zikoje?
 
Angalia isije wewe ndo ukajikuta unaenda kushitaki huko kwa mtendaji! Wanaweza "kukufumua marinda" hao, shauri yako!:D:D:D
 
Mkuu naomba unisaidie kumtag mshana jr aje hapaa.
 
Asante mkuu, hyo common law ndio zikoje?
Common law kwa lugha rahis n sheria za kiingereza ambazo znaeza tumika hata kwetu kama inaeza tokea sheria zetu haziwez tafsiri kitu fln then tunaeza zi apply hz common laws
 
Mmmhhh hapo panahitaji akili na ndo WANASHERIA tunapokuja kutoa ushauri.!
(i)Kwanza jua ya kuwa upo na hatia koz yule ni Mke wa mtu ila usiwe na hofu tunasemage in law "In the middle of Difficulties COMES an Opportunity"
(ii) Kukupata kwa kutumia mitandao ya simu wanaweza koz hilo tuna ushahidi mara kadha wa kadha watu wamepatkana labda usiitumie simu uitupe na line yake Though hivo havina umuhimu koz hili jambo kisheria linatatulika tuu
(iii) Tutaangalia je kulikuwa na inducement yoyote ili wewe uzini na Mke wa mtu ama Mke wa mtu ndo alikuwa na big roll katika kusababsha maafa?
(iv) actually wanaweza kukutisha na kukufuatitilia but at last hilo kosa sio jinai ni madai ama Tort ambayo utaambiwa tuu utoe fidia kama itaonekana upo na kosa lakini kwa sasa haupo na kosa ki KATIBA ya mwaka 1977 inasema "Every one is treated to be innocent untill proven guilty"
 
Mkuu nambie n sheria IPI inaeza kumfany Jamaa awe guilty kama na case ya kusuport ur arguments unayo iweke hapa mkuu
 
Kabisa maana mke naye kanikana kuwa hanijui, japo walimlazimisha walau aseme huyo mtu ni nani lakini hakusema.
Mkuu hawezi Fanya chochote, wewe utasema, line yangu ilipotea nime renew nyingine kwa kuwa hakuna kosa kisheria, cha msingi uwe makini na huyo jamaa Ila mke wa mtu raha sana kumgegedua hata Mimi huwa napiga tu
 
Hapo anaweza funguliwa (Tort) in bases Civil litigation ili Mlalamikaji apewe kiasi cha fedha ili apoze machungu.! Kwa kuhusu case hiyo ni "Lacuna" nkimaanisha when our laws are silent tunaruhusiwa ku apply Common laws soo hapo utatafuta cases za Uingereza ili ku support your claim kuwa mwanamke ndo chanzo cha hayo kutokea.! Hapo ni in Brief
 
Swali ni je mpaka ufumaniwe au hata SMS zikikutwa tu kwenye sm una guilty
 
Mmmhhh hapo panahitaji akili na ndo WANASHERIA tunapokuja kutoa ushauri.!
(i)Kwanza jua ya kuwa upo na hatia koz yule ni Mke wa mtu ila usiwe na hofu tunasemage in law "In the middle of Difficulties COMES an Opportunity"
(ii) Kukupata kwa kutumia mitandao ya simu wanaweza koz hilo tuna ushahidi mara kadha wa kadha watu wamepatkana labda usiitumie simu uitupe na line yake Though hivo havina umuhimu koz hili jambo kisheria linatatulika tuu
(iii) Tutaangalia je kulikuwa na inducement yoyote ili wewe uzini na Mke wa mtu ama Mke wa mtu ndo alikuwa na big roll katika kusababsha maafa?
(iv) actually wanaweza kukutisha na kukufuatitilia but at last hilo kosa sio jinai ni madai ama Tort ambayo utaambiwa tuu utoe fidia kama itaonekana upo na kosa lakini kwa sasa haupo na kosa ki KATIBA ya mwaka 1977 inasema "Every one is treated to be innocent untill proven guilty"
maelezo mengi yasiyo jibu swali na muulizaji je only SMS zina prove kuwa jamaa atembea naye ? ushaihid wa SMS unafanya MTU awe na hatia????
 
swali ni je mpaka ufumaniwe au hata sms zikikutwa tu kwenye sm una guilty
Jibu ni rahisi je hizo sms zipo katika muktadha gani??? Wa watu waliowahi kujamiiana ama ambao bado na kama bado wapo kwenye ukaribu gani wa mahusiano.? Actually kama jibu lako litakuwa la sms za kawaida basii hawana "Locus stand" hapo utatiwa beat tuu uachane nae ila kama ni "Flagrante Delicto" yenye maana umefumaniwa on hotspot hapo ni pagumu lakini at last kwa discretion ya Court waweza lipa faini ama kifungo ili uwe funzo kwa jamii juu ya hiyo tabia.! But kwenye sheria zetu za Penal law hilo jambo la kifungo halikuwa analysed.!may be kuna other laws supporting hiyo offence
 
maelezo mengi yasiyo jibu swali na muulizaji je only SMS zina prove kuwa jamaa atembea naye ? ushaihid wa SMS unafanya MTU awe na hatia????
Mr hii ni Probono silipwi at all.!okay tufanye mimi nimetoa maelezo marefu yasiyo na jibu.? Hembu tupe jibu lako PLEASE
 
Napenda majibu ya wote, naombeni muendelee ili nipate ufumbuzi wa haya mambo!!
 
Usijali Mkuu, Tambua tuu Jf ipo kwa ajili ya ku support one another soo tunawajibika kufanya hivi ili at last "AMANI NA UPENDO VITAWALE" kuna ngoma ya reggae inaitwa ("Sisi ni ndugu watoto wa Mama mmoja" na hii ndo our Motto)
 
Back
Top Bottom