MSAADA WA KISHERIA,HASA SHERIA ZA KAZI NA AJIRA

Dejanta

Member
Apr 26, 2014
37
39
Habari wana Jamii forum,Naomba msaada wa kisheria,,kuhusiana na sheria za Kazi na Ajira,,,,sina pesa ya kumlipa ila nikifanikiwa atanufaika kwa kufanikiwa kwangu,,,mwenye wito wa msaada plz anichek DM
 
Huna pesa za kumlipa nini? Ukifanikiwa nini? na utamlipa nini?

Alafu hapa hauna DM - Direct Message... hapa kuna PM - Private message...

Cc: mahondaw
 
Habari wana Jamii forum,Naomba msaada wa kisheria,,kuhusiana na sheria za Kazi na Ajira,,,,sina pesa ya kumlipa ila nikifanikiwa atanufaika kwa kufanikiwa kwangu,,,mwenye wito wa msaada plz anichek DM
Weka hoja yako mezani kijana
 
Back
Top Bottom