Msaada wa Kisheria - Haki za mtoto wa nje ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Kisheria - Haki za mtoto wa nje ya ndoa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Darlingtone, Jul 11, 2011.

 1. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za mwisho wa wiki wana JF,

  Naomba msaada wa kisheria kuhusu hili:

  Kaka yangu alizaa mtoto nje ya ndoa, na akamtambulisha huyo mtoto kwetu sote hadi kwa wazazi wetu na ndugu wote, Alim-batiza na akamwandikisha hata kazini kwake. Alikuwa anamtunza na kumsomesha. Sasa imetokea bahati mbaya huyu ndugu yetu amefariki. Yule mtoto atapata vipi haki zake? (Hatujajua kama aliandika wosia au la)

  Nawasilisha...
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Soma gazeti la jana la majira. majibu yote yako pale. Mwemezi ameelezea vizuri sana. Kitu kimoja hakukieleza, kama kaka yako alioa kwa ndoa ya kikristo mke mmoja mme mmoja, hakuna issue ya kuhalalisha mtoto pale. Unahalalisha pale ambapo sheria inakuruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja kama vile ndoaya kimila na zinginezo????. Hivyo hata kama alimhalalisha kama ulivyoeleza, as long as his marriage is was still subsisting at the time of his death, that child will remain an illigitimate child for ever and is not entitled to inherit his fathers estates, unless alimuweka kwenye wosia na kumpa kama rafiki na sio kama mrithi!!!!!!!!!!!!.
   
Loading...