Msaada wa kisheria, dhamana inahitaji Wazanzibar ili ikamilike

Binti Kirembwe

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
307
325
Nawasalim kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nina yaandika haya ni kiwa Tanga kaskazini mwa Tanzania.

Mimi ni Mtanzania wa bara ,ila ninaye ndugu yangu ambae alikua anafanya kazi Zanzibar sasa kuna makosa aliyatenda kule na kisha kukamatwa na kufunguliwa mashtaka.

Sasa kosa lake dhamana ipo wazi ila ni lazima wawe watatu tena Wanzibar ,na sio wa bara.

Sasa kule Zanzibar atuna watu wenye nasaba nasi, sasa hili suala limekua gumu mno ,sasa kisheria hamna njia yoyote naweza fanya mimi kama mtu wa bara hili akatapata dhamana?

Natanguliza Shukrani kwenu!

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom