Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,046
- 2,131
Itakuwa ina jina la marehemuje hati ina jina la muuzaji? au jina la marehemu?
*A good wife is from God, but a good husband is from Kigoma*
Itakuwa ina jina la marehemuje hati ina jina la muuzaji? au jina la marehemu?
Hapa ndio shida ilipokuja kwa kuwa ilikuwa na jina la marehemu na si la muuzaji ilitakiwa wawepo hao ndugu wengi hata kama wangekuwa nchi za nje au nkina jina la marehemu haikuwa na jina la muuzaji
Uko sahihi mkuuNinachojua mimi kazi ya mwanasheria unapomuita katika mauziano ya vitu ni
1. Kufanya tafiti na kujua uhalali wa kumiliki na uhalali wa kuuza wa eneo au nyumba husika.
2. Kuandaa nyaraka za mauziano kisheria.
Nionavyo hapo wakili hakufanya kazi yake na ikibidi mfungulie kesi mahakamani ili akufidie yeye au Bima yake.
Kwa hapo alishindwa kutekeleza jukumu lake la kwanza kwa weledi au kwa maslahi binafsi, Aliyekuuzia nyumba (mdogo wa marehemu) sio mtu sahihi ni lazima Angekuwa msimamizi wa miradhi au kungekuwa na mhutasari wa kikao cha familia kuridhia kufanya hiyo biashara.
Ungefanyaje mkuu toa ushauri wakoHii kesi is very Interesting,I wish ningekua nimeapishwa..