Msaada wa kisheria: Dada yangu katapeliwa nyumba Dodoma

ina jina la marehemu haikuwa na jina la muuzaji
Hapa ndio shida ilipokuja kwa kuwa ilikuwa na jina la marehemu na si la muuzaji ilitakiwa wawepo hao ndugu wengi hata kama wangekuwa nchi za nje au nk

*A good wife is from God, but a good husband is from Kigoma*
 
Ninachojua mimi kazi ya mwanasheria unapomuita katika mauziano ya vitu ni
1. Kufanya tafiti na kujua uhalali wa kumiliki na uhalali wa kuuza wa eneo au nyumba husika.
2. Kuandaa nyaraka za mauziano kisheria.

Nionavyo hapo wakili hakufanya kazi yake na ikibidi mfungulie kesi mahakamani ili akufidie yeye au Bima yake.

Kwa hapo alishindwa kutekeleza jukumu lake la kwanza kwa weledi au kwa maslahi binafsi, Aliyekuuzia nyumba (mdogo wa marehemu) sio mtu sahihi ni lazima Angekuwa msimamizi wa miradhi au kungekuwa na mhutasari wa kikao cha familia kuridhia kufanya hiyo biashara.
Uko sahihi mkuu

*A good wife is from God, but a good husband is from Kigoma*
 
Hiyo nyumba ina thamani gani mpaka shauri hilo lianzie baraza la kata? Isije kuwa ni zile nyumba za tembe, maana nijuavyo mabaraza ya kata hufanya mashauri ambayo gharama yake ni ndogo.
 
Back
Top Bottom