Msaada wa Kisheria and the Right Procedures to deal with this Case in Police!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Kisheria and the Right Procedures to deal with this Case in Police!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kiresua, Sep 12, 2012.

 1. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,200
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wana JF,

  NI uciku wa jana, rafiki yetu na ndugu yetu dereva wa pikipiki A.K.A. bodaboda, alitekwa na majambazi akanyang'anywa pikipiki yake, alipoenda kutoa taarifa kituo cha Polisi Mabatini Sinza, cha ajabu akawekwa ndani tangu jana. Ndugu walipofuatilia wakakuta maelezo kuwa aliporwa pikipiki!! sasa cha ajabu ni kuwa aliwekwa ndani!!!!!?????.....na wameshindwa kutoa maelezo ya kutosha! Nimerifiwa juu ya jambo hili muda si mrefu na nikatoa maelekezo kuwa wademand maelezo ya kutosha kutoka kwa mpelelezi wa suala hili (polisi aliyemuweka ndani), then wamuone mkuu wa kituo demanding the same! Baada ya kupata maelezo tutajua hatua za kufuata.

  hii imenifanya kuwa na hisia kuwa Polisi walishiriki tukio hili la kutekwa kwa ndugu yetu!... Masikini kijana wa watu anabangaiza maisha wanataka kumrudisha kijijini!? Kitu ambacho kimenisikitisha ni kitendo cha polisi kumweka ndani mlalamikaji.....bila maelezo ya kuridhisha

  Kimsingi jambo hili limenisikitisha sana na nimeamua kulivalia njuga mpaka nijue hatma yake!

  Nawaombeni ushauri on the right procedures niweze kuboresha mawazo yangu nitoe machango wangu kwa taifa kwa kuwawajibisha watu kama hawa!!

  POLISI SYSTEM IS ROTTEN AND STINKING!!
   
 2. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,683
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye nyekundu weka POLICE
   
 3. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,200
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  Ndo mchango wako mkuu!!? duh!
   
 4. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,412
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Dah! Pole sana,Kifupi ni kwamba kumukua na kasumba kwa polisi unapokwenda kuripot kuwa umeibiwa pikipiki wanakuweka ndani,hii wanadai ilitokana na baadi ya madereva wa bodaboda walioajiliwa kufanya njama ya kuuza pikipiki ya tajiri na baadae kujifanya kama alitekwa na kunyanganywa na majambaz,inshu hiz zimekua zikifanyika sana na ndio maana ili kujua ukweli polis wamekua waki lazmika kumuweka aliyeibiwa pikipiki kwanza.lakini la pili ni usalama wake dhidi ya mmiliki wa pikipiki,tat ni kuwa baada ya kutoa ripot wengine hutoroka kumkwepa mmilik wa pikipiki.sasa bas,wabane polisi hatua kwa hatua mkiwa sambamba na mmiliki wa pikipiki.KUMBUKA USITOE RUSHWA KWA HALI YOYOTE ILIE,mambo yakiwa tait omba mwende mahakamani,kwani ndipo mahara pa angalau haki kupatikana.
   
Loading...