Msaada wa kisheri,nataka kuwashtaki Air tel

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,204
1,462
Habari zenu wana Jf wenzangu,

Nina uncle wangu kaniomba nimsaidie kumtafutia mwanasheria ambae ataweza kumsaidi kufungua mashtaka juu ya kampuni ya Airtel,airtel wamejenga mnara wao ndani ya kiwanja chao huko kijijini Mwamala,wilaya ya nzega,leo kiasi miaka kama 6 na hawalipi chochote,ni meter 15 tu toka mlangoni kwao,sasa najua jf imejaa wanasheri na wasomi wengi,kwa hiyo naombeni msaada wenu kwa hilo,

My contact,ibrah4real@gmail.com or ni pm ntakupa contact zaidi,
 
Back
Top Bottom