Msaada wa kisaikolojia unahitajika haraka

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,710
2,000
Macho huona kile anachowaza mtazamaji...mfano wakati watu wanakupongeza kwa kuoa mke mzuri wewe mawazo yako unaona kama "watakupindua" na kukuchukulia mke kwasababu ndio ilikuwa tabia yako, ubaya uliopo kwenye matendo yako ya zamani unafanya macho yako yaone kila mtu mbele yako ni mbaya au anataka kukufanyia ubaya....! Ulimuona BAshiru katika mwili tofauti na huu?
Watu kama Bashiru wamebaki wachache sana CCM na TAnzania kwa ujumla!
Sisi tushamtoa ikulu aliyokuwa anajivunia wakati wa jiwe .
Kama mlipanga aendelee kuwepo pale basi imekula kwenu.

Mwache sasa aendelee kusononeka na kutukanwa na kina kibajaj na msukuma kwa kudhalilisha elimu yake.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,710
2,000
Pesa sio tatizo kwake au kwako?.
Ningemuona Bashir amefeli kama angetolewa moja Kwa moja na kuwa jobless.
Ila MTU kapelekwa bungeni mizigo inaingia Tu
Bado atalipwa na pensheni.SIJUIII
Kama ni suala la fedha Bashiru alishapiga za kutosha akiwa katibu mkuu wa lumumba.

Anachotafuta ni ushawishi kwenye jamii hasa kama angebakia ikulu endapo mjomba wake angeendelea kutawala.
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,393
2,000
Sisi tushamtoa ikulu aliyokuwa anajivunia wakati wa jiwe .
Kama mlipanga aendelee kuwepo pale basi imekula kwenu.

Mwache sasa aendelee kusononeka na kutukanwa na kina kibajaj na msukuma kwa kudhalilisha elimu yake.
Mkuu una hasira kwa jambo dogo tu, jamaa sijuhi kama hata mwezi ilifika akiwa Ikulu, sasa majivuno gani hayo aliyoonyesha kwa muda mfupi kama huo?
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,710
2,000
Mkuu una hasira kwa jambo dogo tu, jamaa sijuhi kama hata mwezi ilifika akiwa Ikulu, sasa majivuno gani hayo aliyoonyesha kwa muda mfupi kama huo?
Wacha atamdikwe na kina kibajaj na kasheku kwa kumdhalilisha na hayo ndiyo malipo kwa aliyo watendea watanzania
 
mgendege

JF-Expert Member
Jul 18, 2020
274
500
Watanzania aina ya mleta mada ni wajinga sana jamani!

Mwenzio hapo anaondoka na milioni 11 per month nje ya marupu rupu mengine.

Ila wewe unaedemka hapa jf huku ukipiga miayo eti unataka umshauri kisaikolojia?

Akili au matope?
utakuta mtoa post ndo hali mbaya zaidi wewe unatoka na ngapi mwisho wa mwezi
 
Majoajosh

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
253
250
Watanzania aina ya mleta mada ni wajinga sana jamani!

Mwenzio hapo anaondoka na milioni 11 per month nje ya marupu rupu mengine.

Ila wewe unaedemka hapa jf huku ukipiga miayo eti unataka umshauri kisaikolojia?

Akili au matope?
Ila kuwa na pesa haimaanishi kutokuwa na mawazo au msongo,Kuna vitu pesa haiwezi kuvifanya,Wala haiwezi kuvinunua
 
Copa Cabana

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
1,025
2,000
watu wanashindwa kuelewa binadamu huwa wanaishi kwa level na matamanio huyo IDEGENDA pengine yeye hana uwezo wa kuearn hizo 11milions per month so lazima azione nyingi sana kwake yeye ila kwa mtu kama bashiru anaona ni vipesa vidogo sana, alipo bashiru ana shauku ya kuearn billions and live like a king. mnatakiwe mweelewe tamaa zilizopo kwa wanadamu labda ukiwa Rais unaeza ukawa una pesa zote lakini bado unahitaji attention ya madaraka usikilizwe na uwe titled na kila mtu.
pengine jamaa anataka kuji titled zaidi wala hajakosa pesa na halizo nazo pengine anaona hazimtoshi kasha ona kuna gap lipo ila kuzuiwa kulipa akae square.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,822
2,000
Wewe ni masikini tu tena ukute unaishi kwa shemeji yako!

Ungekuwa unalingana kihadhi au kwa hela na bashiru usingekuwa unapiga porojo humu
Naanza kujuta nilipokuwa kijana kushiriki mapenzi na wasichana wengi kisha kutokufuatilia. Yawezekana wewe wa 1988 ukawa mtoto mmoja wapo ambao sikufuatilia habari zao kwa mama zao.
Maana hizi ni akili za mtoto asiye na makuzi mema
Screenshot_20210422-090915.jpg
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,188
2,000
watu wanashindwa kuelewa binadamu huwa wanaishi kwa level na matamanio huyo IDEGENDA pengine yeye hana uwezo wa kuearn hizo 11milions per month so lazima azione nyingi sana kwake yeye ila kwa mtu kama bashiru anaona ni vipesa vidogo sana, alipo bashiru ana shauku ya kuearn billions and live like a king. mnatakiwe mweelewe tamaa zilizopo kwa wanadamu labda ukiwa Rais unaeza ukawa una pesa zote lakini bado unahitaji attention ya madaraka usikilizwe na uwe titled na kila mtu.
pengine jamaa anataka kuji titled zaidi wala hajakosa pesa na halizo nazo pengine anaona hazimtoshi kasha ona kuna gap lipo ila kuzuiwa kulipa akae square.
True kadri upatavyo ndo utaka zaidi.Hittler aliona ujerumani haimtoshi akaitaka duniani.Wengine awakuridhika kutawala wanadamu wakatamani hata malaika wakawatawale.
 
Copa Cabana

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
1,025
2,000
True kadri upatavyo ndo utaka zaidi.Hittler aliona ujerumani haimtoshi akaitaka duniani.Wengine awakuridhika kutawala wanadamu wakatamani hata malaika wakawatawale.
huwa mpaka unaenda kaburini usipo kuwa mtu wa mipaka kuridhika, hutaziacha tamaa za dunia hii.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,822
2,000
Huyo na polepole walikuwa ni madalali wa kununua wapinzani anavuna alichopanda.Sisi tulifunga na kumuomba Mungu awaaaibishe wote wale waliovuruga uchaguzi mkuu hakika ametenda tumeuona ukuu wake baada ya kuanza na baba lao gwiji la kuvuruga chaguzi.
Walimnunua Silinde, Waitara, Gekule kwa mbwembwe sana. Leo wapo bungeni, wakipita hao mbele yao wanasimama Bashiru na Polepole kuwasabahi "habari za asubuhi mheshimiwa waziri!"
Halafu watu wanashangaa kumuona anasononeka? Maumivi hayo ni makali sana, maana Bashiru au Polepole kwa sasa wana hadhi sawa na Lusinde au Msukuma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom