Msaada wa kimawazo tafadhali

honey bee

Senior Member
Nov 23, 2021
139
231
Wakuu,

Naombeni mawazo ya kisaikolojia ya jinsi gani naweza kujiondoa kabisa kwenye hili gonjwa la mahusiano na mapenzi.

Nimejaribu ushauri niliokuwa nikipatiwa, mpaka sasa nimefanikiwa kwa kiwango fulani!!

Naombeni mchango wenu nisifikirie kabisa kuhusu mapenzi kwa sasa, niwaze pesa tu!!

Issue ni serious.
 
Alietengeneza alitaka iwe hivyo sasa nenda kinyume na hapo uone balaa lake..😂

Kuwa kama mimi tu mkuu hata yakikupiga ng'ang'ania tu kikubwa usiruhusu yakutoe uhai maana hasara ni roho pesa makaratasi tu.
 
Una jambo unataka kulifungulia uzi ila naona nafsi ya moyo+ubongo na mikono havitaki kupeana kampan ili utuletee huo uzi wa kufungia mwaka...ila tunakuaidi kuwa na subraa
 
Alietengeneza alitaka iwe hivyo sasa nenda kinyume na hapo uone balaa lake..
Kuwa kama mimi tu mkuu hata yakikupiga ng'ang'ania tu kikubwa usiruhusu yakutoe uhai maana hasara ni roho pesa makaratasi tu.
Alipatikana saa ngapi?
 
Wakuu,

Naombeni mawazo ya kisaikolojia ya jinsi gani naweza kujiondoa kabisa kwenye hili gonjwa la mahusiano na mapenzi.

Nimejaribu ushauri niliokuwa nikipatiwa, mpaka sasa nimefanikiwa kwa kiwango fulani!!

Naombeni mchango wenu nisifikirie kabisa kuhusu mapenzi kwa sasa, niwaze pesa tu!!

Issue ni serious.U sipo
Usipotongoza utatongozwa
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom