Msaada wa kimawazo kwa wenye ufahamu na hili jambo.

BALIMI CASTLE

Member
Aug 2, 2017
33
47
Kuna auncle wangu mmoja alimaliza form six mwaka 2013,alisoma PCB,matokeo yake yalikuwa PHYSICS (S) CHEMISTRY (E) BIOLOGY (D), alipata nafasi ya kuajiriwa sehemu flani hivi, akasema ataenda kusoma badae,kweli akafanya kazi Mpaka 2018 akaona arudi shule Sasa, lakini akakuta principle pass moja imepungua, kwa maana miaka ya nyuma ilikuwa ni EE unapata chuo, alikwenda open university wakamwambia asome foundation course mwaka mmoja then atasoma degree, lkn Akanambia kuwa masomo ya foundation course ni yale yale ya advance tena unayarudia kusoma yote, akaona kupoteza muda kusoma masomo ya advance kwa nini asirisiti somo moja tu ili apate principle pass, ukiangalia baadhi ya masomo Kama biology alikuwa amefaulu.Akawaza somo gani Sasa alifanyie mtihani? physics akaona atapoteza muda, kwa sababu aliona halimudu hivyo angetoka patupu, kama Mara ya kwanza alipata S, alijua Mara ya pili angepata F.hivyo akaliacha,akawaza chemistry, nayo akaona mazingira sio Rafiki kwake, kwa kuwa sehemu alipo kumpata mwalimu wa chemistry ilikuwa ni vigumu, Hivyo akaona kuwa atapoteza muda tu, solution ikaja akaona asome geography,ili atoke kwenye PCB aje kwenye CBG,kweli akasoma geography kwa miezi 8 tu akafanya mtihani wa form six mwaka huu, matokeo yametoka Jana ameniambia amepata principle pass grade D, Sasa kuna chuo alikuwa anafanya registration online kw kuwa amekusuduia aombe nafasi ya kusoma hapo,amejaza vizuri education information kuanzia form four hadi six, tatizo likajitokeza pale kwenye kujaza second seating ya advance, alipojaza namba yake ya mtihani na kituo na mwaka aliomaliza( 2019) kisha kusubmit,sytem ilimwambia second seating hai match na CSSE record, je kubadili hilo somo inaweza kuwa reason? Yani kutoka PHYSICS to GEOGRAPHY.je kunaathari kwa alichofanya? Maana anasema Alicho zingatia mwanzo ni kuona, anaweza kusoma course flani kwa kuwa ilitaka principle pass ya geography na biology. mwenye uelewa tafadhali.
 
Wewe uoni kwamba f4 na form 6 kuna gap ya mwaka kumi system lazima atamreject tu.....pia f6 always inakua one sitting na masomo ya nakua matatu au ma nne per sitting sio moja moja kama alivo fanya.......
 
kwa hiyo ikifika miaka kumi hairuhusiwi kutengeneza sifa Za kwenda kusoma Elimu ya juu?
 
Soma hiyooooo
tapatalk_1562939801624.jpeg
 
Wewe uoni kwamba f4 na form 6 kuna gap ya mwaka kumi system lazima atamreject tu.....pia f6 always inakua one sitting na masomo ya nakua matatu au ma nne per sitting sio moja moja kama alivo fanya.......
Braza iyo form four gape miaka kumi imekujaje hapo ulipomjibu... Mbona ni tofauti na uo mwongozo uliotumwa....

Maelezo kidogo mkuu
 
pole sana kwa ndugu yako kwakweli...maana hapo hakuna namna nyingine hope...ungefuata ushauri ambao nimekupatia hapo juu...angetafuta chuo cha chaguo lake...aende kujaribu kuomba hapo hapo chuo
 
Wewe uoni kwamba f4 na form 6 kuna gap ya mwaka kumi system lazima atamreject tu.....pia f6 always inakua one sitting na masomo ya nakua matatu au ma nne per sitting sio moja moja kama alivo fanya.......
Kimeulizwa kingine umejibu kingine. Out of points (Op)
 
Back
Top Bottom