Msaada wa kibarua nina uzoefu wa kazi za shopkeeper, warehouse, storekeeper building supervisor revenue office

Dec 20, 2016
98
109
Kwema wana jukwaa nakuja kwenu nikiwa na matumaini ya kusaidiwa.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.

Nashida na kibarua au kazi yoyote nitafanya ili mradi mkono uende kinywani sina kazi kwa mda mrefu nilikuwa warehouse supervisor kwa kampun moja ya kichina ila tangu corona ianze walifunga biashara kwa madai mzee wao amefariki huko China.

Baada ya hapo nimekuwa bench nimehangaika sana kusaka ajira bila mafanikio huku familia ikinitegemea na kwa sasa mke wang mjamzito so hata mizunguko kapunguza.

Nauzoefu na kazi hizi shopkeeper warehouse storekeeper building supervisor revenue officer.

Niko Dar es Salaam.
Namba 0694052222.
 
Back
Top Bottom