Msaada wa kibarua cha kazi ngumu unahitajika

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
338
300
Wakuu habarini za majukumu!

Kwa MwanaJF yeyote atakaekuwa na kibarua cha kutumia nguvu kama kulima, kufyeka, kuchimba shimo la choo etc naomba kazi hiyo anipe nifanye asimpe mtu mwingine.

Naishi Tegeta, Dar
0765 544791 / 0655544791

Natanguliza Shukrani..
 
Last edited by a moderator:
Daah kweli wewe umejitoa. Wasi wasi wangu ni usiwe dalali tu wa hayo uliyoyataja, na hata kama ukiwa hivyo, haina tatizo, ungejitangaza tu ya kuwa unatafutia vijana kazi kwa namna hiyo. Mfano ni ukapata kazi kama 4 hivi za haraka kwa mara moja, sijui utajigawaje kama upo pekee.

Mtazamo wangu tu lakini. HONGERA.

Ahsante!
 
Kuwa rasilimali mtu nayo ni ajira tosha , hongera kwa kuamua kuitumia tasilimali mtu uliyo nayo,
 
Mkuu ww si ndo uliomba msaada wa pesa ya kodi? Nakumbuka ktk zile comments kuna mdau alisema, yeye hawez kukupa pesa Ila kuna kaz anaweza kukupa,
Kasome ule uzi umtafute.
 
Mkuu ww si ndo uliomba msaada wa pesa ya kodi? Nakumbuka ktk zile comments kuna mdau alisema, yeye hawez kukupa pesa Ila kuna kaz anaweza kukupa,
Kasome ule uzi umtafute.
Mkuu Kweli Mimi Ndie Nilie kuja kwenu kuomba Msaada Wa Kodi Nashukuru WanaJF mlinisaidia vya kutosha na sasa tar 30 /12/2015. Nahamia kwangu. Mkuu nili m PM yule ndugu lakini hakunijibu.
 
Daah kweli wewe umejitoa. Wasi wasi wangu ni usiwe dalali tu wa hayo uliyoyataja, na hata kama ukiwa hivyo, haina tatizo, ungejitangaza tu ya kuwa unatafutia vijana kazi kwa namna hiyo. Mfano ni ukapata kazi kama 4 hivi za haraka kwa mara moja, sijui utajigawaje kama upo pekee.

Mtazamo wangu tu lakini. HONGERA.

Ahsante!
Mkuu Mimi Sifanyi Udalali! Ninae rafiki yangu mmoja nitafafanya nae kazi ..
 
Daa mkuu ungekuwa..............ningekuonganishia kiwanda cha cement cha wachina. Sina maana nataka mimi ila ningekupa mchongo na ukaenda ukapiga mzigo. Kwa mwezi wanalipa kilo tatu. Lakini kazi yake ni kubeba cement za viwandani. Mimi najuana nao maana nilienda kufanya nao kazi nilitumwa na ofisiii
 
Mkuu Ujumbe Wako Haujakamilika Ningekuwa Na Nini? Hicho Kiwanda Kipo Mkoa Gani? Naomba majibu yako mkuu asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom