Msaada wa kiafya: Maumivu ya kifua yananisumbua (1)

Chagaboy93

Member
Jan 21, 2017
14
8
Wakuu habarini.

Ninaomba msaada kwa anayeweza kunishauri. Nimekuwa nikipata maumivu ya kifua eneo la katikakati ya kifua kurudi chini zinakoishia mbavu. Mara nyingi maumivu haya husikika upande wa kulia wa kifua pia.

Nimesha attend hospital mbalimbali nikafanya vipimo vya X-Ray mara mbili, CT Scan nimefanya Muhimbili mwezi ulopita, Nilishafanya vipimo vya moyo, Damu nimepima lakini mpaka sasa sijajua tatizo ni nini. Nimekuwa nikienda hospital wananiandikia tu dawa Omaprazole na Ant acid nyinginezo lakin bado shida yangu haishii!!Ninaishi kwa hofu kubwa mno

Pia, soma: Ushauri kuhusu afya: Maumivu ya kifua yananisumbua (2)
 
Pole sana mkuu.

Nina tatizo kama lako kwa muda mrefu. Nilifanya vipimo vyote kama wewe hadi Kairuki hospital nikaambiwa sina tatizo. Lakini mim naona kifua kizito n kinauma hadi leo.

Nlifanikiwa kugundulika kwamba ni ulcers zile za kifuani. Nipo napambana na dawa kila nikisikia dawa naenda. Nina nafuu japo sijapona mana tatizo la miaka mingi na sikuligundua mapema. Nakushauri pima ulcers mkuu. Pole sana
 
Nina hali kama yako mwaka wa 4 now, japo kwa sasa inapungua kidogo, ni hali inayosababishwa na msongo mkubwa sana wa mawazo.
Maumivu huwa yanaanza shingoni na yanakuja taratibu hadi kifuani upande wa kulia, ndipo unapojisikia mara mbavu na kifua zinabana na mara nyingi maumivu huwa makali sana hasa ukikaa au ukiwa umeinama na unapojinyoosha kifua kama kinakuwa kinabana sana na kuuma.

Nilionana na doctor akanambia hali hiyo ya msongo huwa inakuja na bacteria ambao hukaa maeneo hayo, hivyo aliniambia nitumie antibiotic amoxyline au fraggile . Nilitumia amoxylin kwa muda wa majuma matatu na maumivu yaliondoka kabisa ila baada ya kama wiki tatu tena yakaja kama vilivile japo kipindi hiki ilikua sio mara kwa mara. Nakushauri meza amoxyline amara 3 hali itakaa vizuri na yataondoka au kupungua kabisa.
 
Mkuu bei ya kupima ulcers sh ngapi. na dawa zinakusaidia?
 
Kile kipimo ni elfu 10 tu. Nenda hospital nzuri waambie unahis una dalili hizo unataka kupima. Hata hizo emaprazol walizokupa huwa zintumika kutuliza ulcers. Kaipime utaandikiwa doze mkuu sio gharama ila kupona ndio shida
 
Wakuu habarini.

Ninaomba msaada kwa anayeweza kunishauri.Nimekuwa nikipata maumivu ya kifua eneo la katikakati ya kifua kurudi chini zinakoishia mbavu.Mara nyingi maumivu haya husikika upande wa kulia wa kifua pia.

Nimesha attend hospital mbalimbali nikafanya vipimo vya X-Ray mara mbili, CT Scan nimefanya Muhimbili mwezi ulopita, Nilishafanya vipimo vya moyo, Damu nimepima lakini mpaka sasa sijajua tatizo ni nini. Nimekuwa nikienda hospital wananiandikia tu dawa Omaprazole na Ant acid nyinginezo lakin bado shida yangu haishii!!Ninaishi kwa hofu kubwa mno
Aisee hata mimi hizi dalili nimeanza kuzi experience sijajua tatizo ni nini hasa.
 
Pole sana mkuu.

Nina tatizo kama lako kwa muda mrefu. Nilifanya vipimo vyote kama wewe hadi Kairuki hospital nikaambiwa sina tatizo. Lakini mim naona kifua kizito n kinauma hadi leo.

Nlifanikiwa kugundulika kwamba ni ulcers zile za kifuani. Nipo napambana na dawa kila nikisikia dawa naenda. Nina nafuu japo sijapona mana tatizo la miaka mingi na sikuligundua mapema. Nakushauri pima ulcers mkuu. Pole sana
Hata mimi niliambiwa ni vidonda vya tumbo ila sikujali saana ,nimeamua nijitibu kwa Imani na kuondoa huo wasiwasi yaani mnasema meditation.
 
Pole kwa kuumwa.

Kwanza jiridhishe endapo sio dalili za uvimbe au failure ya kiungo chochote maeneo hayo.

Uwezekano wa pili ni magonjwa ya lishe. Mfano ulcers(vidonda vya tumbo).

Mf. Duodenal ulcers ni ugonjwa ambao dalili zake zinafanana na hizo unazozitaja.

Tiba kuu, yenye uhakika na ya kudumu kwa magonjwa lishe ni kubadili mtindo wako wa maisha.
-Jiepushe na wasiwasi, hila, visasi, kinyongo...
-Jali lishe yako - kula vinavyosagika kirahisi na epuka kwa muda vyakula vinavyoleta gesi.
-Punguza kiasi cha mlo unaopata kwa mkupuo, tumbo liwe na nafasi ya kusaga chakula kwa wepesi.
-Jipange uwe na siku za kufunga bila kula au kunywa chochote kwa masaa kadhaa ili kuruhusu mwili (hususan mfumo wa mmeng'enyo wa chakula) uweze kujikarabati wenyewe.

Kuhusu mfungo(intermittent fasting) unaweza kuanza kwa kuruka mlo mmoja, baadae miwili, ukizoea unaweza kumaliza hata masaa 48 bila kula, na unaifanya mara 1 kwa wiki 2. Don't cheat. Inasaidia sana. Ukielemewa na njaa, unakunywa maji.
 
Nina hali kama yako mwaka wa 4 now, japo kwa sasa inapungua kidogo, ni hali inayosababishwa na msongo mkubwa sana wa mawazo.
Maumivu huwa yanaanza shingoni na yanakuja taratibu hadi kifuani upande wa kulia, ndipo unapojisikia mara mbavu na kifua zinabana na mara nyingi maumivu huwa makali sana hasa ukikaa au ukiwa umeinama na unapojinyoosha kifua kama kinakuwa kinabana sana na kuuma.

Nilionana na doctor akanambia hali hiyo ya msongo huwa inakuja na bacteria ambao hukaa maeneo hayo, hivyo aliniambia nitumie antibiotic amoxyline au fraggile . Nilitumia amoxylin kwa muda wa majuma matatu na maumivu yaliondoka kabisa ila baada ya kama wiki tatu tena yakaja kama vilivile japo kipindi hiki ilikua sio mara kwa mara. Nakushauri meza amoxyline amara 3 hali itakaa vizuri na yataondoka au kupungua kabisa.
Tiba ni hiyo ya kuacha kuwaza Sana.Nimegundua moja ya tatizo kubwa ni kuwa na msongo wa mawazo kwa hiyo kinachotakiwa na kujitahidi ku take things esay na kitofikiria saaana.
 
Pole kwa kuumwa.

Kwanza jiridhishe endapo sio dalili za uvimbe au failure ya kiungo chochote maeneo hayo.

Uwezekano wa pili ni magonjwa ya lishe. Mfano ulcers(vidonda vya tumbo).

Mf. Duodenal ulcers ni ugonjwa ambao dalili zake zinafanana na hizo unazozitaja.

Tiba kuu, yenye uhakika na ya kudumu kwa magonjwa lishe ni kubadili mtindo wako wa maisha.
-Jiepushe na wasiwasi, hila, visasi, kinyongo...
-Jali lishe yako - kula vinavyosagika kirahisi na epuka kwa muda vyakula vinavyoleta gesi.
-Punguza kiasi cha mlo unaopata kwa mkupuo, tumbo liwe na nafasi ya kusaga chakula kwa wepesi.
-Jipange uwe na siku za kufunga bila kula au kunywa chochote kwa masaa kadhaa ili kuruhusu mwili (hususan mfumo wa mmeng'enyo wa chakula) uweze kujikarabati wenyewe.

Kuhusu mfungo(intermittent fasting) unaweza kuanza kwa kuruka mlo mmoja, baadae miwili, ukizoea unaweza kumaliza hata masaa 48 bila kula, na unaifanya mara 1 kwa wiki 2. Don't cheat. Inasaidia sana. Ukielemewa na njaa, unakunywa maji.
Noted
 
Pole sana mkuu.

Nina tatizo kama lako kwa muda mrefu. Nilifanya vipimo vyote kama wewe hadi Kairuki hospital nikaambiwa sina tatizo. Lakini mim naona kifua kizito n kinauma hadi leo.

Nlifanikiwa kugundulika kwamba ni ulcers zile za kifuani. Nipo napambana na dawa kila nikisikia dawa naenda. Nina nafuu japo sijapona mana tatizo la miaka mingi na sikuligundua mapema. Nakushauri pima ulcers mkuu. Pole sana
Bro nilipima vidonda vya tumbo mwananyama kwa kutumia sampuli ya choo nikaambiwa sina vidonda ila mwaka huu nimeenda hosptal ya Ekenywa nikapima choo wakakuta positive.Niliporudi muhimbili nao washauri nikapime na kipimo cha damu nacho kikawa positive.Ila nadhani hivi vidonda vya sasa vimeamka kutokana na hali ya msongo wa mawazo yatokanayo na kuumwa kwangu bila kujua tatizo.Muhimbili nimmepewa vidonge vya Elogl na Kemoxyl+f na dawa za ant acid Ila mpaka sasa sioni nafuu yoyote.Kuhusu mfumo wa kula niko vizur sana na ninazingatia mashart kikamilifu.
 
Wakuu habarini.

Ninaomba msaada kwa anayeweza kunishauri. Nimekuwa nikipata maumivu ya kifua eneo la katikakati ya kifua kurudi chini zinakoishia mbavu. Mara nyingi maumivu haya husikika upande wa kulia wa kifua pia.

Nimesha attend hospital mbalimbali nikafanya vipimo vya X-Ray mara mbili, CT Scan nimefanya Muhimbili mwezi ulopita, Nilishafanya vipimo vya moyo, Damu nimepima lakini mpaka sasa sijajua tatizo ni nini. Nimekuwa nikienda hospital wananiandikia tu dawa Omaprazole na Ant acid nyinginezo lakin bado shida yangu haishii!!Ninaishi kwa hofu kubwa mno

Pia, soma: Ushauri kuhusu afya: Maumivu ya kifua yananisumbua (2)
Mkuu pole kwa maradhi yako uliyokuwa nayo na hujuwi chanzo cha maradhi yako ingawa umepima vipimo vya hospitali . Umeambiwa unayo maradhi ya vidonda vya tumbo vilivyotokana na stress ulizo kuwa nazo. Kwa ufupi wewe unayo maradhi ya elimu ya giza Uchawi na sio rahisi kwa vipimo vya hospitali kuonekana hayo maradhi ya elimu ya giza aka uchawi nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole Mkuu.
 
Pole sana mkuu.

Nina tatizo kama lako kwa muda mrefu. Nilifanya vipimo vyote kama wewe hadi Kairuki hospital nikaambiwa sina tatizo. Lakini mim naona kifua kizito n kinauma hadi leo.

Nlifanikiwa kugundulika kwamba ni ulcers zile za kifuani. Nipo napambana na dawa kila nikisikia dawa naenda. Nina nafuu japo sijapona mana tatizo la miaka mingi na sikuligundua mapema. Nakushauri pima ulcers mkuu. Pole sana
Mkuu habari, hili tatizo kama ulipona naomba kufahamu uliponaje, kuna mtu ana tatizo kama hili
 
Back
Top Bottom