Msaada wa KeyBoard

Davies_007

Member
Apr 22, 2010
59
0
wakuu Nilikuwa nasafisha laptop yangu kwa kutumia foam cliner Baada ya Kumaliza kusafisha nikiwasha laptop yangu keyboard haifanyi kazi Tatizo Linaweza kuwa ni kitu gani?
 
Mkuu, thats makes two of us, ilibid ni i replace keyboard! Nilikosa suluhisho jingine! Au unaweza kutumia external keybord as temporarily solution!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom