Msaada wa kazi yoyote halali wakuu

emmax00

Member
Oct 1, 2016
38
3
Mimi ninaitwa Emmanuel naishi Arusha ila naweza kufanya kazi mkoa wowote, nina miaka 26 nimesomea hotel Management .

Na nina uzoefu katika kazi ya hoteli, pia nina lessen class D na nina uzoefu katika magari natafuta kazi yoyote kwa kuwa sina kazi sasa sina chaguo ndugu zangu naomba mnisaidie.

Asanteni
 
Umechanganya vitu Vingi kwenye career yako, haijulikani uko competent kwenye nini, ni ukweli ila unauma hakuna mwajiri anaweza vutiwa na CV yako labla ibadilishe otherwise kalime
 
...
 
Attachments

  • 1477026542400.jpg
    1477026542400.jpg
    48 KB · Views: 78
Mimi ninaitwa Emmanuel naishi Arusha ila naweza kufanya kazi mkoa wowote, nina miaka 26 nimesomea hotel Management .

Na nina uzoefu katika kazi ya hoteli, pia nina lessen class D na nina uzoefu katika magari natafuta kazi yoyote kwa kuwa sina kazi sasa sina chaguo ndugu zangu naomba mnisaidie.

Asanteni
 
Mimi ninaitwa Emmanuel naishi Arusha ila naweza kufanya kaz mkoa wowote, nina miaka 26 nimesomea hotel Management na nina uzoefu katika kazi ya hoteli, pia nina lessen class D na nina uzoefu katika magari natafuta kaz yoyote kwa kuwa sina kazi sasa sina chaguo ndug zangu naomba mnisaidie.Asanteni.
Neno hotel management halitoshi watu kukujua zaidi,hebu jieleze ni eneo/kitengo gani kwenye hotel unakiweza zaidi? Uzoefu wa muda wa muda gani nk? Funguka dogo.
Huwa nashindwa kuelewa vijana wa siku hizi hata kujieleza ni shida,mnapenda short cut!?
Any way kila la heri!
 
Siku hizi hata wanaojifunza mapishi wanasema wanasomea "Hotel Management" Nadhani hili neno litakuwa na maana pana zaidi kwa hawa watu...
 
Habari zenu ndg zangu, Mimi ni kijana elimu form 4 niliesoma kozi ya hotel nina uzoefu katika kufanya service na food production, ila niko tayari kufanya kazi yoyote halali ili kuweza kujikimu, niko tayari kufanya kazi popote Tz,. Tafadhali nisaidieni. My no is 0752353146.
 
Mm nikijana nina miaka 27 natafuta kazi yoyote, elimu yangu ni kidato cha 4 nipo Arusha no yangu ni 0752353146
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom