Msaada wa kazi ya ukarani

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,310
2,583
habar wakuu!naomba kujuzwa hii hii kazi ya ukalani je interview yake ipoje?? maana kuna mdogo wangu kaomba kaziofisi flani lakin kaambiwa aende kufanya interviewwiki ijayo so msaada wenu pia hata anaejua msaada wenu.
 
Mwambie mdogo ako aje mwenyewe aulize atajibiwa vizuri zaidi.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom