Msaada wa kazi ya ukarani


adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
1,039
Likes
562
Points
280
adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
1,039 562 280
habar wakuu!naomba kujuzwa hii hii kazi ya ukalani je interview yake ipoje?? maana kuna mdogo wangu kaomba kaziofisi flani lakin kaambiwa aende kufanya interviewwiki ijayo so msaada wenu pia hata anaejua msaada wenu.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,216
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,216 280
Ni kalani wa nini?
 
adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
1,039
Likes
562
Points
280
adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
1,039 562 280
mizigo maana anaenda kwenye kiwanda
 
Mr.Junior

Mr.Junior

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Messages
9,199
Likes
4,850
Points
280
Mr.Junior

Mr.Junior

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2013
9,199 4,850 280
habar wakuu!naomba kujuzwa hii hii kazi ya ukalani je interview yake ipoje?? maana kuna mdogo wangu kaomba kaziofisi flani lakin kaambiwa aende kufanya interviewwiki ijayo so msaada wenu pia hata anaejua msaada wenu.
Mwambie mdogo ako aje mwenyewe aulize atajibiwa vizuri zaidi.
 
P

Plan Of Action

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Messages
466
Likes
369
Points
80
P

Plan Of Action

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2016
466 369 80
mizigo maana anaenda kwenye kiwanda
kampuni inaitwaje na iko sehemu gani?

mdogo wako ana elimu gani?

eleza wazi nikupe namna ya kushinda maswali ya clerk katika kampuni..
 
adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
1,039
Likes
562
Points
280
adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
1,039 562 280
kampuni inaitwaje na iko sehemu gani?

mdogo wako ana elimu gani?

eleza wazi nikupe namna ya kushinda maswali ya clerk katika kampuni..
ni kiwanda inshu ya vinywaji elimu foem four hapo inatosha...
 

Forum statistics

Threads 1,274,530
Members 490,721
Posts 30,515,416