Msaada wa kazi nipate kipato cha kujikimu na familia yangu nina uzoefu wa kazi za ujenzi

Dec 20, 2016
98
109
Kwema wana jukwaa la JF

Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam tegeta nakuja mbele yenu kuomba kazi yoyoye halali ya kujipatia kipato. Maji yamenifika ukingoni baada ya kukaa muda mrefu bila kazi na na familia ya mke na mtoto mmoja na wote macho yao kwangu kama kichwa cha familia

Nina uzoefu na kazi za ujenzi nikifanya kampuni kadhaa za ujenzi kama CCEC na Chico.

Nina uwezo wa kufanya kazi yoyote.

Kama storekeeper warehouse foreman shopkeeper.

Mawasiliano 0745000157
 
CCECC-Hii kampuni mkuu igande sana, hii kampuni ni main contractor kwenye mradi wa awamu ya tano ya treni ya umeme MWANZA TO ISAKA, kazi zinaanza mwezi huu nimesikia, kwa kuwa umewai fanya nao kazi kupata itakuwa simple tu.
 
Nikweli mkuu kama jamaa Villanova tito amewahi kufanyanao kazi kampuni ya ccecc iliyojenga pale ubungo interchange basi awagande sana maana ndio wanaojenga sgr kipande cha Isaka to Mwanza.

Furthermore mradi wa Bomba la Mafuta la kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania, unaanza tarehe 20 mwezi huu wa march 2021. Hivyo anaweza kwenda kujaribu pia maana wanatakiwa watu zaidi ya elfu kumi na moja, kati yao elfu tatu ni ajira za kudumu.

Kila la kheri.
 
Duu 10,000 tangazo la kazi liweke tuone position.
Mkuu Regent wafanyakazi permanent ni 3000,
Labour force (vibarua) ndio zaidi ya 10,000

Mradi huu ni mkubwa kuanzia kagera mpaka Tanga (ukiacha Uganda)! Utachukua watu wengi sana, ni kama ule wa Rufiji hydroelectric au ule wa Sgr. Ni Mega project!
 
CCECC-Hii kampuni mkuu igande sana, hii kampuni ni main contractor kwenye mradi wa awamu ya tano ya treni ya umeme MWANZA TO ISAKA, kazi zinaanza mwezi huu nimesikia, kwa kuwa umewai fanya nao kazi kupata itakuwa simple tu.
Shukran mkuu sema kupata kaz kwenye haya mamirad kuna changamoto. Na hawa wachina sio kama wazungu kazi ikiisha na urafiki unaisha
 
Nikweli mkuu kama jamaa Villanova tito amewahi kufanyanao kazi kampuni ya ccecc iliyojenga pale ubungo interchange basi awagande sana maana ndio wanaojenga sgr kipande cha Isaka to Mwanza.

Furthermore mradi wa Bomba la Mafuta la kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania, unaanza tarehe 20 mwezi huu wa march 2021. Hivyo anaweza kwenda kujaribu pia maana wanatakiwa watu zaidi ya elfu kumi na moja, kati yao elfu tatu ni ajira za kudumu.

Kila la kheri.
Wanafanyaje application huko
 
Wanatumaje application mkuu
 
Tafsiri halisi ya Mbongo ndio hii.... " UBINAFSI"

Mbona unaweka dhana potofu utadhani una uhakika na unachoandika mkuu,

Ubinafsi upi tena?!

Mimi sio muhusika wa total company wala sifahamu chochote kuhusu ajira zao zinatolewa wapi, sasa "ubinafsi" upi?!

Tatizo lenu wabongo mnapenda sana kulazimisha vitu, mpaka mje kutapeliwa!

Ndio maana nikakwambia usipende kuandika comment kwa dhana yako kichwani!

Nilichomjibu inbox wewe hujui, kuna swali aliniuliza inbox (private) ndio nikamjibu huko generally!

Kuhusu ajira zao zinapotolewa sijui, wala sihusiki kwahilo sasa ulitaka nimjibu nini mkuu?! Acheni dhana potofu!
 
Alafu kuna watu wanatupa chakula na kuna watu wanalala njaa hii nchi kwakweli kuna umuhimu sana wa kuiwekea mifumo mipya namba ya sisi sote kufaidika na rasilimali zetu & hili bandiko limenitafakalisha sana &Mwenyezi Mungu akusaidie mkuu na nikiona kazi za aina yako nitakujuza
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom