Msaada wa kazi kwa Aliyemaliza Advanced Diploma ya Regional Planning!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Ndugu zangu nina mdogo wangu amemaliza hiyo kozi hapo juu katika chuo cha Mipango Dodoma amehangaika kutafuta kazi lakini amehewa wakuu kama kuna mtu anaweza mtipu tusaidiane.

Ni hayo tu.Kwa kifupi she is a lady maake najua kuna watakao ulizia jinsia!!
 
Back
Top Bottom