Msaada wa kadi na bendera za CHADEMA

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
78
Katika kijiji cha Nyamwage wilaya ya Rufiji, kijiji hiki kipo barabara ya kuelekea Lindi, na ile round about ya kuelekea ofisini kwa DC utete MKOA WA PWANI.
KADI ZIPATAZO 150 NA BENDERA ZA CHADEMA KAMA 50 HIVI ZINAHITAJIKA.
KIJANA AJULIKANAYE KWA JINA LA PAWASA PALE NYAMWAGE NDIYE MHAMASISHAJI WA CDM.
HAWANA UONGOZI ILA AMEANDIKISHA WANACHAMA KAMA 100 HIVI, ANAOMBA MSAADA HUO.

Nilikutana naye na kuzungumza kidogo ndipo alipo nijulisha shahuku yake ya moyo hiyo jana.
Tafadhali kama ni hapo makao makuu ya CHADEMA niiteni nije nichukue kadi hizo na bendera,kama ni hapa Kibaha mkoani naomba msaada huo.
 
Katika kijiji cha Nyamwage.wilaya ya Rufiji,kijiji hiki kipo barabara ya kuelekea Lindi,na ile round about ya kuelekea ofisini kwa DC.utete.MKOA WA PWANI.
KADI ZIPATAZO 150 NA BENDERA ZA CHADEMA KAMA 50 HIVI ZINAHITAJIKA.
KIJANA AJULIKANAYE KWA JINA LA PAWASA,PALE NYAMWAGE NDIYE MHAMASISHAJI WA CDM.
HAWANA UONGOZI ILA AMEANDIKISHA WANACHAMA KAMA 100 HIVI.ANAOMBA MSAADA HUO.Nilikutana naye na kuzungumza kidogo ndipo alipo nijulisha shauku yake ya moyo hiyo jana.
Tafadhali kama ni hapo makao makuu ya chadema niiteni nije nichukue kadi hzo na bendera. Kama ni hapa kibaha mkoani naomba msaada huo.
Namb za PAWASA 0718382967na namba yangu mimi ni 0754966964,nipo kibaha.

Hatuitaji kushika mtutu wa bunduki ktk mageuzi chanya. Ni kwa njia hii Tanzania inazaliwa upya. Nakila mtanzania mwenye nia njema atuelewe hivyo.
 
Chadema hata hapo Ikwiriri tu mnashindwa kufika...umbali wa hata km 100 kutoka dar makao makuu haufiki..
kweli mmelala usingizi...
je sisi wa huku Ikola,Karema si itakua shida.
 
Duh aisee kama jamaa kafikia kuandikisha wanachama 100 bila hata mkutano wowote sipati picha siku M4C ikivamia pande hizo...KADI ZINAFIKA MUDA SI MREFU MSIHOFU MAKAMANDA...........
 
Vua magamba, vp hadi kufikia 2015 mtakuwa mkwisha fukunza makatibu wangapi?
Jiulize kwanza mpaka kufikia 2015 wabunge wangapi na madiwani wangapi wa CDM watakuwa wamesharudi where they belong nyumbani kwao CCM!
 
Katika kijiji cha Nyamwage.wilaya ya Rufiji,kijiji hiki kipo barabara ya kuelekea Lindi,na ile round about ya kuelekea ofisini kwa DC.utete.MKOA WA PWANI.
KADI ZIPATAZO 150 NA BENDERA ZA CHADEMA KAMA 50 HIVI ZINAHITAJIKA.
KIJANA AJULIKANAYE KWA JINA LA PAWASA,PALE NYAMWAGE NDIYE MHAMASISHAJI WA CDM.
HAWANA UONGOZI ILA AMEANDIKISHA WANACHAMA KAMA 100 HIVI.ANAOMBA MSAADA HUO.Nilikutana naye na kuzungumza kidogo ndipo alipo nijulisha shauku yake ya moyo hiyo jana.
Tafadhali kama ni hapo makao makuu ya chadema niiteni nije nichukue kadi hzo na bendera. Kama ni hapa kibaha mkoani naomba msaada huo.
Namb za PAWASA 0718382967na namba yangu mimi ni 0754966964,nipo kibaha.

Mkuu mwanakidagu, Concerns noted, action taken. Asante kwa kuweka mawasiliano.

Ingawa siku hizi tumeweka utaratibu unaohakikisha kadi na bendera zinazotakiwa kwenda ngazi za chini kama vifaa vya uenezi na kazi, zinapitia katika mkondo wa chama, badala ya kuangukia kwa watu ambao wamekuwa wakisingizia kuwa wametumwa na uongozi, kumbe wanazo agenda zao.
 
saa ya ukombozi ikifika kila mtu anachakarika kwa nafasi yake kwa sababu Tanzania ni nchi yetu sisi zote, sasa inauma sana watu wachache kuifanya milki binafsi, na urithi wa vizazi vyao. inauma kila mwenye uchungu na nchi yake hata jali, kinamgarimu nini, kinacho takiwa ni ukombozi. siyo propaganda ya kubadilisha viongozi, tunashukuru kwa waliyo ya fanya na wao waridhike ,waachie ngazi wengine pia wapange kwa nguvu mpya, jamani utamu wa jembe ni kupokezana. ccm wakubali wasikubali, wataachia ngazi tu. inauma sana wananchi wanakamuliwa nguvu zao mali zao kuchenga shule leo wanasema wamejenga shule? wafanyakazi wanalipa kodi kila mwezi, wanasema wameondoa kodi? wao wanaolipwa mapesa mengi bila kukatwa kodi. watanzania wapiga kura wa vijijini wanakufa njaa, nguo ya kutokea shida baada ya miaka mitano wanasambaziwa tshet na kofia ili wapate kura, kwanini wasisambaze masuruali, blanket, vitenge, suti, kama kweli hizo ngua ni za kheri, laana na kilio cha watanzania i juu yao na vizazi vyao kwa kuwadanganya watanzania wasio jua haki zao na kuwatumia kama bidhaa, kujipatia uongozi. watanzania tuamke inatosha, kama wewe siyo mnufaika wa magamba itetee nchi yako.
 
mungu anajambo na Tanzania ni swala la watanzania kukubali kuitii sauti ya mungu, yakwamba amka wewe ulalaye toka usingizini, pinga na piga vita unyanyasaji na dhuluma dhidhi ya watanzania wenzako
 
Back
Top Bottom