Msaada wa joining instructions

jathurwa

JF-Expert Member
Dec 13, 2019
214
259
Ndugu zangu natumai mu wazima . Samahani kidogo kwa kuchukua muda wenu , naomba mwenye joining instructions za Bwiru girls secondary school anisaidie. Kuna ndugu yangu anahamia hapo kidato cha tano. Nimejaribu kuziangia mtandaoni lakini inaonekana zimefutwa . Tafadhali naombeni msaada shule zinafunguliwa Jumatatu..
 
  • Thanks
Reactions: p2k

Nicheck PM ipo
 
Back
Top Bottom