Msaada wa jinsi ya kutoa pattern iliyosahaulika katika simu ya xiaomi redmi 4x

kikositija

Senior Member
Jun 19, 2017
123
103
Ndugu
Kwa anaejua jinsi ya kutoa paten iliyosahaulika ktk simu iliyotajwa hapo juu bila ya kufrash.
Najua humu kuna hazina ya wajuzi wengi kama akina Chief Mkwawa na wengine tafadhali
Naombeni msaada wenu..
 
Kila kitu usisubiri utafuniwe nakushauri uingie google kwanza uhangaike kupata soln
 
Back
Top Bottom